Felsic
Senior Member
- Jul 14, 2014
- 180
- 354
Mkuu unajua maana ya gravity, kama ni Ndio nadhani unajua ya kuwa ni Attraction Force na si Repulsive Force right?Nimesikia kuna kimondo kinaikaribia dunia
Swali ile gravity inakuwa wapi mpk hiko kimondo kinakaribia kuigonga dunia??
Je hiyo GT sio powerfull kihivyo iweze kuzuia mwezi maji ya bahari izuie sisi tusipae kutoka kwa uso wa dunia then ikiache kimondo kuifikia dunia?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa Attraction Force izuie vipi kitu kinachokuja towards Earth?
Sent using Jamii Forums mobile app


