Recent content by Ibra6

  1. I

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

    Hongera, ila michango ya wadau usiipuuze la maana lifanyie kazi utafanikiwa zaidi.ila kata bima hata wakifa kwa ugonjwa au kuibiwa utalipwa fidia.usiamini mambo ya weka dawa ya kuzuia wezi
  2. I

    JamiiForums Tanzania Biashara ya salon za kiume na kike

    Safi sana.
  3. I

    JamiiForums Tanzania Yeyote anayemiliki gari/pikipiki kisheria, kadi iwe na jina lake, vinginevyo nalo ni jipu!

    Sheria ipo na ukibainika na hilo kosa unakabiliwa na faini au kifungo kisichopungua miaka miwili
  4. I

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Je, ni siku zipi ambazo mwanamke huweza kupata ujauzito katika mzunguko wake wa kila mwezi?

    Kuanzia siku uliyomaliza bleed usiduu hadi siku ya18 kuanzia hapo tupia mashuti hadi blid takapoanza tena
  5. I

    JamiiForums Tanzania Kodi za nyumba Dar zinapanda kwa spidi ya hatari (maisha yanatisha)

    Mkoani ndo mpango,
  6. I

    JamiiForums Tanzania Kuna nini Hospitali ya Kairuki?

    He, mambo haya tulikuwa tunayasikia lugalo sasa yamefika kairuki! aghakan nako watu wanalalamika, sasa tutatibiwa wapi
  7. I

    JamiiForums Tanzania Mgao wa umeme umekuwa Janga

    Za escrow zmeisha wanataka kuleta richmond nyingne
  8. I

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rav4 huota tege?

    Hizo gali ni imara kikubwa matunzo
  9. I

    JamiiForums Tanzania Mikopo ya NBC

    Weka malengo mazuri maanakama mkopo wa mda mrefu mpaka unamaliza mkopo riba usishangae kufika50%,kwenye maendeleo kukopa hakukepeki
  10. I

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Kubota pitia mala kwa mala hapa kijiweni,nina imani mpaka sasa ulisha boresha mradi wako wa mkaa, siku hizi unatengeza mkaa wa kisasa sio ule wa kuharibu mazingira
  11. I

    JamiiForums Tanzania Natafuta Ndama dume wa kisasa

    Ushauli wa bure, weka bei na picha,na aina ndo utawauZa haraka
  12. I

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote ya udereva wa gari

    Usiseme kazi yoyote unadhalilisha taaluma ya udereva,kwa kauli yako hiyo inaonyesha haujapita N I T, kasome ili uondokane na fikra za kuona udereva ni kazi ya kawaida kawaida tu
  13. I

    JamiiForums Tanzania Gari la mkopo ni presha tupu

    Hili ndo tatizo la watz, unalipa hela kibao kwenye bima bado ukipata ajali tena unalipa hela kutengeneza gali! Siku nyingine ukipata ajali hata kama umegonga wewe pima ajali nenda kituoni andika maelezo kama gari yako haijaharibika sana endelea na ishuzako huyo akawadai bima yako au yake,mambo...
  14. I

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kujihusisha na uchawi, Je! naweza kulogeka?

    Wengi wanatamba kuwa hawaini uchawi,uchawi ni imani tu, mambo yao yanawaendea vizuri tu, lakini anasahau alivokuwa mimba mamake alitumia dawa za kinga,alivokuwa mchanga alivalishwa likamba jeusi lina mafundo kibao kiunoni na mkononi,na ulivomkubwa mamake anatumia dawa ili mwanae huko alipo mambo...
  15. I

    JamiiForums Tanzania Ni nani aliyeleta na aliyetengeneza uchawi hapa duniani?

    Wenyewe wachawi wanapitia hiz post zenu wanawacheka mnavyohangaika kujua uchawi,kumbuka nasikia uchawi una miiko yake na mwiko namba moja ni sili, mkeo,ndugu,mtoto,mzazi wako anaweza kuwa mchawi na ukuishi nae usijue kama ni mchawi
Back
Top Bottom