Recent content by Ibra tiger

  1. I

    JamiiForums Tanzania Magodoro bora na yanayodumu: Ushauri Kati ya QFL, COMFY, VITARAHA, TANFOM, SPRING n.k

    Kwa Tanzania sijui kama kuna Godoro bora kama Tanform Arusha nimeyatumia hadi Godoro linaisha unene uleule.
  2. I

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu anasumbuliwa na shoga. Je, achukue hatua gani za haraka ?

    Hao ni wadau wanajuana, kitu ukiwa hupendi hata huhitaji ushauri wa mtu mwenyew tu anaetongoza ataona hapa pamoto anakuacha.
  3. I

    JamiiForums Tanzania TETESI: Mchakato wa Ajira za Ualimu kufanywa na TAMISEMI, utaratibu wa zamani kutumika

    Labda hawakujipanga vizur kulingana na idadi kubwa ya waombaji, ila hiyo interview ni njia tu ya kupunguza watu sio kwamba ndio watapata walimu bora kwa mtihani wa skumoja wa maswali ya kuchagua kuliko mitihani mingi mtu alofanya akiwa chuo mpaka kufaulu.
  4. I

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani kila ukifanya unasema hii ni mara ya mwisho?

    Iyo kitu ni noma sana, kuna kipindi nlishawah kaa miezi mitano siku iyo nikajisemea tu nafanya mara moja duu kilichofuta basi tu.
  5. I

    JamiiForums Tanzania Wazee wenzangu 60 +

    Af huwezi amini mimi nlikua na jirani yang wa age hiyo ila mimi ni sawa na mtoto wake wa kiume lakini story tulizokua tunapiga utasema ni rika langu tukianza story za mademu duu ni hatar hadi nimehama bado tunaongea sana hata kwe simu.
  6. I

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kuuza nguo, uwakala, bajaji ipi inalipa?

    Uwakala ina lipa endapo tu utapata location nzuri na kuwa makini wakati wote tena skuiz wanatumia lipa namba ni balaa.
  7. I

    JamiiForums Tanzania Msaada namna ya kujaza taarifa Ajira Portal

    Mimi pia ninachangamoto nilikosea kujaza verification certificate,nikakuta sehemu ya degree zimejisave mara tatu na hamna sehemu ya kufuta yaani nahesabika kama nina degree tatu wakati ni moja nimetuma email hazijibiwi.
  8. I

    JamiiForums Tanzania Niliyoyaona baada ya kuita roho za giza kwa kutumia OUJIA board (don't try this at home)

    Story yako inkaribia kufanana na ile Movie ya Veronica niliiangalia hadi mwisho japo inatisha sana
  9. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Zikipita siku 3 tu sijamgusa Kiburi, Hasira na mizozo inaanzaa!

    Huyo ndio mzuri yani ukirudi tu nyumbani unamvuta chumbani unamnyooshaa na usiku unampa show ya maana bila kusahau kumpiga cha asubuhi huyo atakuheshim sana.
  10. I

    JamiiForums Tanzania Kila nikiangalia hizi picha nabaki kuwangaa CHADEMA lia lia kuhusu suala la Msigwa

    Daaa yani nimeangalia izo picha nimecheka mwenyew apa japo nilikua na stress zangu.
  11. I

    JamiiForums Tanzania Hata iweje tutalipenda taifa la Israel (taifa teule)

    Utakuta mtu kama huyo eti kasoma mpaka chuo kikuu inasikitisha
  12. I

    JamiiForums Tanzania TEC, CCT, CPCT Kemeeni yanayoendelea Zanzibar ili kuwalinda Wakristo waishio Zanzibar

    Naona unatumia nguvu kubwa kubishana na watu ambao hawako tayari kukuelewa hawana hoja yeyote zaidi ya matusi na kejeli.
  13. I

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi WATATU waliopo DAR (vijana smart) Wanahitajika HARAKA iwezekanavyo..

    Kuna group ukipost hili tangazo cm itajaa msg hadi ushindwe kusoma maisha ni magumu sana kazi hamna.
  14. I

    JamiiForums Tanzania Huwa nashangaa sana CHADEMA kumuona Putin shujaa halafu wanamkandia Magufuli!

    Sio chadema tu na waafrica wengi sababu kuu ya kumpenda Putin ni kwasababu anapinga LGBT, lakini kuhusu mambo mengine hawaangalii jana naona wanaanza uchaguzi lakini kuna mpinzani wake mmoja nae anamsifia Rais wale wapinzani hasa wapo uhamishoni au wameuwawa ni full dictator kwa ufupi.
Back
Top Bottom