Msaada namna ya kujaza taarifa Ajira Portal

Msaada namna ya kujaza taarifa Ajira Portal

mom abe

Member
Joined
Jun 13, 2024
Posts
23
Reaction score
22
Namba, msaada kwa wale wazoefu wa ajira portal hii sehemu ya professional qualifications mwalm unaweka cheti gani?
 
Mimi pia ninachangamoto nilikosea kujaza verification certificate,nikakuta sehemu ya degree zimejisave mara tatu na hamna sehemu ya kufuta yaani nahesabika kama nina degree tatu wakati ni moja nimetuma email hazijibiwi.
 
Namba, msaada kwa wale wazoefu wa ajira portal hii sehemu ya professional qualifications mwalm unaweka cheti gani???
Hapo wanajaza wenye professional zinahitaji leseni kama engineer, Wahasibu, wanasheria, madakitari pharmacist nk.
 
Mimi pia ninachangamoto nilikosea kujaza verification certificate,nikakuta sehemu ya degree zimejisave mara tatu na hamna sehemu ya kufuta yaani nahesabika kama nina degree tatu wakati ni moja nimetuma email hazijibiwi.
Pole wameweka namba pale jaribu kuwapigia
 
Back
Top Bottom