Recent content by ibnu hussain

  1. I

    JamiiForums Tanzania Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?

    tunaomba muungano uendelee wengine tunataka tukaoe huko znz sasa tukitengana c mtanletea mimi balaa jaman?
  2. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Anahitaji ushauri

    mwanaume ndo kakuambia anataka akuoe au we unataka uache shule ili umwambie jamaa akuoe?
  3. I

    JamiiForums Tanzania Masharti ya kujiunga na chama cha mapinduzi (CCM)

    acheni hizo nyie CCM chama kubwa bwana mkubwa karibu,bana kwenye chama cha wasomi wenye elimu zao,sio hao mambulula wasio jielewa chakufanya we tafuta tawi karibu yako,na faida ni nyingi kubwa ni wewe kuwa na hamu ya kuitumikia jamii yako popote ulipo.
  4. I

    JamiiForums Tanzania Clouds TV acheni kuwadhalilisha bibi, mama zetu!

    we ndo unaakili unatoa hoja ambayo inamaana bora wabadili mambo ynao fanyika ya kipuuzi.
  5. I

    JamiiForums Tanzania Pictures: Maziwa ya Tanganyika, Nyasa bado virgin, kuna beach nzuri, tusichelewe wageni watazichukua

    hahahaah hizo beach za maziwa nimezipenda saana,sasa nawish kufika huko one day yes
  6. I

    JamiiForums Tanzania Yaliyosemwa na Kolimba yarudiwa na Mama Maria Nyerere

    mbona celewii??
  7. I

    JamiiForums Tanzania Bajeti ya Wizara ya Elimu aliyoisoma Mh. S. Kawambwa haikidhi matakwa ya elimu bora

    nkimwonaga jamaa huyu roho yangu haina aman kabisaaa
  8. I

    JamiiForums Tanzania ITV na isidingo the need???

    hahahahaha mwanangu umeniongezea maneno,aisee
  9. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa ndugu zetu wapare

    niache mimi......njoo ule shemeji yangu
  10. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni maneno gani yaliyo ibuka miaka hii unayoyachukia?

    hahhahaha mbona neno zuri tuu hilo wangu
Back
Top Bottom