Recent content by Ibn Ayoub

  1. Ibn Ayoub

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Dhaifu wa leo aweza kuwa shujaa wa kesho kwani hamna aijuae kesho yake
  2. Ibn Ayoub

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Duh kumbe mjini raha hivyo
  3. Ibn Ayoub

    Hongera kwa walioleta uzi wa Chumvi ya Mawe

    Hahaha kuna wavuvi huoga katika maji chumVi kila waendapo kazini ila hadi leo bado mambo ni mgumu
  4. Ibn Ayoub

    JamiiForums Usiku wa manane

    Wazo Zuri Maashaallah nimejifunza kitu
  5. Ibn Ayoub

    CCM yamweka chini ya Uangalizi Balozi Karume

    Duh walioko bara wanamtuhumu Mama Samia kuuza Nchi na walioko visiwani wanamtuhumu Mwinyi kuuza visiwa
  6. Ibn Ayoub

    Raia Mwema: Kampuni ya Yono yapigwa stop kuuza mali za Musiba

    Hakuzomewa Musiba pamoja na ujinga wake woote atazomewa Membe ajabu hiii
  7. Ibn Ayoub

    Membe waonee huruma Hawa wake wawili wa Musiba kama umewakatalia viongozi wa dini

    Angelijuwa hilo asingeyafanya aliyoyqfanya hata wakati yeye anavunya utu wa membe nae pia familia yake ilikuwa inayapitia magumu
  8. Ibn Ayoub

    Membe waonee huruma Hawa wake wawili wa Musiba kama umewakatalia viongozi wa dini

    Kazama kwao ni kheri kwa taifa kuliko kuendelea wakielea wakati wao wamezamisha wengi kwa kibri chao
  9. Ibn Ayoub

    Membe ni dini gani? Anaweza vipi kumpinga Cardinal Pengo au Askofu Malasusa?

    Leo wanamtaka eti membe asamehe wakati heshima yake inavunjwa utu wake unazalilishwa mbona hawakumsii musiba asiyafanye hayo au hao ndio walikuaa wanamtuma kuyafanya yale. Hakuna cha kusamehe hii iwe fundisho kwa wengine kama yeye
  10. Ibn Ayoub

    Ujumbe wa aliyejiua kisa penzi la Monica (mke wa Masanja). Chunguzeni wake zenu

    Kwa kawaida akili ya mtu kwa mtu mwingine na sawa tu Imani ya mtu kwa mtu mwingine kila mmoja anamuona mwenye Imani tofauti na yeye anatakiwa kuxhunguzwa Afya ya akil yake
  11. Ibn Ayoub

    Ujumbe wa aliyejiua kisa penzi la Monica (mke wa Masanja). Chunguzeni wake zenu

    Kisha akishaipata hiyo pesa afanyie nini na yeye shida yake ni Monika ambae alishawahi kumnyandua akiwa hata hana pesa. Kuna watu wanapesa lakini hawapati hitajiobla moyo wao. Pesa sio ndio kila kitu
  12. Ibn Ayoub

    Ujumbe wa aliyejiua kisa penzi la Monica (mke wa Masanja). Chunguzeni wake zenu

    Wewe ndio unaeona kajikomoa ila yeye kaamuwa kuwa mwalimu kwa vitendo wa kuiambia Dunia kuwa bila ya Monika maisha hayana samani
  13. Ibn Ayoub

    Ujumbe wa aliyejiua kisa penzi la Monica (mke wa Masanja). Chunguzeni wake zenu

    Shida ya kosho sio pesa ni penzi la Monica ambalo alishawahi kulipa pasipo kuwa na pesa na akafurahia penzi lake akawa anachitiwa mwenye pesa na kupewa yeye sio lazima sote tuwe na pesa mahitaji yanatofautiana
Back
Top Bottom