Recent content by Ibang

  1. Ibang

    JamiiForums Tanzania Yeriko Nyerere na falsafa ya ulinzi na usalama wa Ikulu

    Anayemuamini yericko ni Hana akili ....
  2. Ibang

    JamiiForums Tanzania Biashara Ya Utengenezaji Samani (furniture)

    Mtaji Upo wa kutosha na uzoefu ni 0
  3. Ibang

    JamiiForums Tanzania Biashara Ya Utengenezaji Samani (furniture)

    Halafu ukishalala uamke
  4. Ibang

    JamiiForums Tanzania Biashara Ya Utengenezaji Samani (furniture)

    Wakongwe habari mie Kama Kawaida yangu nachokoza Mada na Leo nachokoza kuhusu Biashara ya kutengeneza samani (furniture) Kwa maana sofas, vitanda, dining table, etc. Hapa Wakongwe tuongelee zaidi uwekezaji wake kwa maana ya Mtaji, soko lake, changamoto zake (which is very important) na...
  5. Ibang

    JamiiForums Tanzania Nilibadilika mwonekano na kung'aa nlipofika sehemu nlipopatia ajali

    Mchaga Halafu nabii .. Loading nitarudi
  6. Ibang

    JamiiForums Tanzania Developer wakitanzania wananini chakujivunia?

    Kiongozi Unaweza niuzia project mojawapo..
  7. Ibang

    JamiiForums Tanzania Project 2020

    Kiongozi Ulikuwa na mpango gani
  8. Ibang

    JamiiForums Tanzania Project 2020

    Swali zuri sana
  9. Ibang

    JamiiForums Tanzania Project 2020

    Kwanini iwe ngumu.. Kwani Kuna ugumu gani..?
  10. Ibang

    JamiiForums Tanzania Project 2020

    Wakongwe tumekuwa tukiona watu wengi wakianzisha app zao na kuziuza.. Kuendana na mabadiliko ya teknolojia.. Ndio maana Kelvin wa instagram alianzisha instagram na ndani ya mwaka mmoja aliiuza 1 billion usd kwa facebook.. Wote mnajua watsapp imeuzwa kwa sh ngapi... Mifano iko mingi mingi...
  11. Ibang

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwandishi wa mchanganuo wa Biashara kutoka IFM au CBE

    Salaam kama wewe ni mwanafunzi wa IFM au CBE na ni mtaalamu wa kuandika michanganuo ya kibiashara kwa ajili ya kupata mitaji.. wasiliana nami kupitia namba yangu ya whatsapp +255758441676
  12. Ibang

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Mbao na Miti: Fahamu Uendeshaji, Faida na Changamoto zake

    Nani anaweza kuandika business plan nzuri kwa ajili ya biashara hii ya miti ili tuweze kumiliki shamba kubwa na kuweza kuvutia wawekezaji? Kuliko small scale farming ambao wengi wetu tunaifanya Nawasilisha
  13. Ibang

    JamiiForums Tanzania Naweza kusaidia kupata shule nchini india

    Management Studies There is unprecedented competition in the marketplace today... Courses : BCA , BBM , B.Com , MBA Pharmacy Pharmacy is concerned with every aspect of drugs and medicines... Courses: Pharm .D, M.Pharm, B.Pharm, D.Pharm...
  14. Ibang

    JamiiForums Tanzania Scholarship za vyuo vya Marekani

    Yanini uende huko upoteze zaidi ya 20,000 usd kwenye fee wakati india watu wanapata bachelor kwa miaka 3 kwa just less than 10,000 kwa anayetaka nafasi za kwenda kusoma india bado zipo tuonane
  15. Ibang

    JamiiForums Tanzania Nguo za Karate zinapatikana wapi?

    tandale sehemu gani?
Back
Top Bottom