Big up. Nimepitia links zako, hakika umefanya kazi nzuri nikutie moyo.
Kazi ulizozifanya hakika zinakuongezea sifa binafsi ila si kwa nchi.
Hakuna kipya ambacho outside wata ki appreciate ndo tatizo, umefanya maintanance na modification works ambazo hazina attention kubwa kwa outside developers.
Okey labda nitoe hits tu zakutengeneza exceptional things.
1. Solving ploblem
Hapa unaangalia weekness za product zilizopo sokoni. Ukishajua unakuja nakitu bora zaidi.
Mfano ni telegram kwa whatsApp. Telegram wamekuja na end to end encryption, Speed, large media na secrete chat wakatoboa.
Piah njia hii- unaweza angalia watu wanamatatizo gani ukawasaidia- Uber wamefanya hivo nawametoboa.
2.Creating demand
Hapa unatengeneza soko lako mwenyewe. Unatengeneza product itakayowalazimisha watu kuitumia kutokana na status zao, dini, Rangi na mengineyo.
Mfano wawalio tumia njia hii ni Twitter, Buggat na IPhone products.
Twitter wametengeneza mazingira nakuwalazimu watu maarufu kutumia mtandao wao.
Iphone products- hii inawalazimu watu wahadhi ya juu kutumia.
Buggat ni status product piah.
Mifano hiyo inatosha.
3. Local monopoly
Hapa unafanya transformation yakitu kilichopo nakukileta katika mazingira ya nyumbani kabisa ila uangalifu ni muhimu sana kuna baadhi ya product hazifit kwenye njia hizi napia timing muhimu.
Mifano ya product zilizopita njia hii ni Vkontakte.
Kipindi facebook inatoka kabla ya kushika kasi jamaa wakatoa yao nakuteka soko la nyumbani kwao.
Hata JamiiForum wamepita na njia hii namsifu muanzilishi japo hawajafanya from scratch -ila lengo lao limetimia
Kuna App kama PoaApp kama ingetoka kabla ya WhatsApp kushika kasi tungezungumza mengine leo. Ila wananafasi fursa flani wakiziona watakua habari nyingine.
*Wapi developers wanakwama*
1.Hawana business model zitakazo uza bidhaa zao ndo mana wanalalamika wateja hakuna. Hapa hawaja jipanga na wataishia kulalama. Utatengenezaje kitu ambacho hakina wateja (wasting time)
Chakufanya wawashirikishe business people , kutengeneza product sample (versions) ku test b4 kuumia na mamilion ya features kumbe product core feature haina soko na ushawishi kwa wateja.
Instagram walianza na photos sharing, wakaja live videos na story baadae. Hapa unatengeza njia ya product kuji finance yenyewe.
2. Quality product & Usability.
Dev wana kimbilia kutoa products zenye weekness lukuki. User wakianza na Rating mbaya kwa product ndo ushaharibu. Test product mara nyingi iwezekanavyo.
Pia kwenye Quality , mtu kajua code leo kesho App iko sokoni. Pateni mda wakujipima kwanza. Kuna site zakupima ubavu kama Topcodes, CodeChif na site lukuki ukiwa okey nakujiona fiti fanya mambo
Usability- fanya maisha rahisi product kutumika.Ads sio kitu kizuri chakuanza nacho japo mbeleni unaeza weka
Big up-jamii forum App imekuwa maarufu ndo naona matangazo
* Nitakuja tena kupendekeza Idea tano mwenyeuwezo atumie.
Sharti lakufanya wazo hilo nikukaa mwenyewe nakufanya codes naukifikia angalau nusu yakazi alika watu wakukusaidia, Nimesoma post watu wanaanzisha vitu vinakufa*
Nimawazo yangu. Nawasilisha