Biashara Ya Utengenezaji Samani (furniture)

Ibang

Senior Member
Dec 15, 2011
121
23
Wakongwe habari mie Kama Kawaida yangu nachokoza Mada na Leo nachokoza kuhusu Biashara ya kutengeneza samani (furniture)

Kwa maana sofas, vitanda, dining table, etc. Hapa Wakongwe tuongelee zaidi uwekezaji wake kwa maana ya Mtaji, soko lake, changamoto zake (which is very important) na mwisho kabisa ujanja jinsi ya kutengeneza a lot of in bank account.

Hivyo Wakongwe tuelekezane kuhusu Biashara Hii kinaga ubaga ili tuweze kutoboa.
1622634620252.png
 
Mtaji Upo wa kutosha na uzoefu ni 0
Umenijibu vizuri mkuu unapatikana wapi mimi nina kashow room kadogo keko furniture nauza furniture kwa kuanzia mkuu tafuta sehem ambayo ina market then nijulishe niwe nakuuzia mzigo kwa bei ya jumla.
 

Attachments

  • IMG_20170331_134548_359.jpg
    IMG_20170331_134548_359.jpg
    103.8 KB · Views: 123
  • IMG_20170331_134548_363.jpg
    IMG_20170331_134548_363.jpg
    83.8 KB · Views: 128
  • IMG_20151009_232525.jpg
    IMG_20151009_232525.jpg
    45.5 KB · Views: 113
  • IMG-20170418-WA0003.jpeg
    IMG-20170418-WA0003.jpeg
    130.8 KB · Views: 119
  • IMG-20170331-WA0002.jpg
    IMG-20170331-WA0002.jpg
    34.5 KB · Views: 121
Changamoto ya furniture za bongo ni finishing. Yaani kwa mtu unayejua quality, furniture zetu bado sana!

Kila lakeri Mkuu katika juhudi zako. Usisahau kutubandikia picha tuone kama tuna sababu ya kukutafuta!
 
Changamoto kubwa ni material kama mbao no, lakini pia Kuna aina za vifaa vya finishing ambavyo huku havijafika au haviagizwi kutokana na kukosa soko kwa sababu watumiaji hawavijui ndio maana finishing imekua na matokeo duni kwetu.
 
Back
Top Bottom