Kwanini gari ndogo automatic ikizima ghafra ikiwa kwenye mseleleko break zinaishamo ukikanyaga hazikamati nifanye nini ili gari lisimame linaookua kwenye mseleleko?
Kama umepanga nakushauri badilisha mazingira, hamia mtaa mbao hawakufahamu kabisa hata mtu mmoja then ukifika anza ukurasa mpya,
Hivyo ndivyo nilivoishinda depression
Yan kwa sasa unavojihisi mimi nilishawahi kata tamaa nikatamani kujinyonga, lakn nlifikiria ndo nlkua nmepata kitoto kidogo dem wangu alikua ameshajifungua, niliwaza sana nikijinyonga mwanangu ataishi maisha gan hapa duniani na ukizingatia ni mtoto wa kike, nlipiga moyo konde nikanyanyuka kwenda...
Nimefanya utafiti wangu kila kona ya Dar es salaam nimeona wazawa wengi wa hili jini wote ni mabandidu wasio na huruma na hawaogopi lolote juu ya swala la pesa, watu wakilala wakiamka wanawaza pesa.
Kila kitu ni pesa, ukimsimamisha mwanamke njiani ukimuona namba badae ataanza kukuelezea shida...
Natumai mu buheri wa afya tele,
Bila kupoteza wakati, naombeni tiba ya kutatua tatizo hili.
Nina tatzo la kumchukia mtu yeyote nnayekutana nae barabarani anaefanana na adui yangu ama mtu nisiyempenda naye ntaanza kumchukia hapo hapo.
Yaani haijalishi kama hajawahi nikwaza ntamchukia hivyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.