Natafuta mtaalamu wa kutengeneza akaunti ya Bolt

Natafuta mtaalamu wa kutengeneza akaunti ya Bolt

iamriq_arthur

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2021
Posts
452
Reaction score
1,133
Natafuta mtu anaeweza nitegenezea account ya bolt chap chap niingie mzigoni before mwezi wa nne.

8369DDAB-55BA-4BF8-B2BA-E831227189B6.png
 
Natafuta mtu anaeweza nitegenezea account ya bolt chap chap niingie mzigoni before mwezi wa nne.

View attachment 3284855
Sasa mbona umedownload up ya mteja badala ya dereva?

Bolt unajiunga kama Whatsapp tu.

Uwe na leseni husika

Kadi

LATRA

Bima

NIDA

Picha.

Email na namba ya simu.

Kama huna vyote hivyo, nipe kazi nikufanyie.
 
Mkuu huku ulipokuja sipo nakutahadharisha.....account za bolt zinafunguliwa na wao wenyewe baada ya kujiridhisha kupitia mafunzo yao ambayo yamekuwa yakitolewa jumanne na alhamis hata hivyo sio kigezo pekee yatakayokuruhusu uwe na iyo account mpk pale vigezo vyao vingine vitakapo kamilika ikiwa ni pamoja na;

●Latra
●license
●Bima
●Chombo chenye usajili wa uwakika
N.k
Nb:usije ukajiroga kutoa pesa huduma hizi ni bure wanapatikana mikocheni kama bado hawajahama.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom