Recent content by IAMKIBANDA

  1. I

    JamiiForums Tanzania An open letter to President Magufuli

    Kweli watoaji wa ajira ni wafanyabiashara wadogooo.. .
  2. I

    JamiiForums Tanzania Mhe. Freeman Mbowe amkabidhi rasmi kadi ya CHADEMA Waziri Mkuu mstaafu, Fredrick Sumaye

    Ok napita tuuuuuuuu uuuu..
  3. I

    JamiiForums Tanzania Alikiba Ashinda tuzo kubwa za Nzumari Awards za nchini Kenya

    Hongera sana Brother Kiba.. ...
  4. I

    JamiiForums Tanzania Taarifa za mikopo midogo midogo ya kibiashara!

    Ok tuzidi kupashana habari zaidi..
  5. I

    JamiiForums Tanzania Hii ni Sera ya Mabenki au BOT?

    Hivi kwanini msimalizane na hawa wa zamani halafu marekebisho yaanze upya mnavyotaka ila WAZEE WANALALAMIKA SANA ...PSSF KUWENI MAKINI MZEE YUPO NJIANI..
  6. I

    JamiiForums Tanzania Hii ni Sera ya Mabenki au BOT?

    Mhe: Magufuli kama hawa wazee wetu wanateseka itakuwaje kwa upande wetu hapo baadae halafu wengine wanaumwa moyo kisukari wanalalamila wanasumbuliwa na PSSF.. Jamani shirika lenu zuri halafu mnaanza kulitia DOA la RUSHWA ...TUNAOMBA C.E.O wa shirika hilo awaweke kikao wafanyakazi jamani kwani...
  7. I

    JamiiForums Tanzania Hii ni Sera ya Mabenki au BOT?

    Yes hii ndio Tanzania mpya kwani hatupaswi kufumba macho sasa kiongozi tunaye tena JEMBE naam pia kwa wastaafu mwaka huu naona wanalalamila kwani watu wametumikia miaka 60 kazini halafu unamwambia pesa yako sisi tunakulipa kuanzia mwaka 2000 halafu miaka ya nyuma HAZINA itakulipa hiviiiii...
  8. I

    JamiiForums Tanzania DK. Magufuli aiteka dunia, Waandishi Lesotho wataka aongezewe ulinzi

    Yes now we're taking .. Hii ndio Tanzania yenye watu wazuri wenye moyo wa kipekee hata kama wapo wachache waharibifu lakn wazuri wapo pia naam Tuzidi kumuombea Rais wetu..
  9. I

    JamiiForums Tanzania An open letter to President Magufuli

    jamani kasharekebisha kiswahili naombeni msome tena mtaona vyema marekebisho... Comorade umeongea mambo ya msingi sana tunaamini habari zitamfikia mhe. Rais magufuli ... Tanzania nchi yangu naipenda na jf i love you.. ...
  10. I

    JamiiForums Tanzania DK. Magufuli aiteka dunia, Waandishi Lesotho wataka aongezewe ulinzi

    Rais wetu haigi mtu naam vijana tunampenda na tunaamini Tanzania yetu itakuwa kwa haraka kwa kuwa uchumi utakuwa na ajira zitaongezeka na viwanda vitafanya kazi tena.. ...
  11. I

    JamiiForums Tanzania Wamarekani watamani Magufuli awe rais wao

    Naamini kila mmoja wetu anachangia kwa uelewa wake sasa tatizO liko wapi hapo mmh naam hakuna mtanzania mwenye upungufu wa akili humu ndani.. sasa tujaribu kutumia lugha nzuri..
  12. I

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amteua Prof Lipumba kuwa mshauri wake [TETESI]

    Yes hii ndio tanzania iliyokomaa kisiasa..Tunakushukuru mh. Rais Joseph
  13. I

    JamiiForums Tanzania Magufuli atashindwa kama Nyerere

    Yes mikaeni upo sawa kabisa kwani kuna sehemu zinapaswa kuwa maeneo ya jumuiya sio binafsi zaidi.. magufuli noma
Back
Top Bottom