KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,830
- 12,315
Kuhoji iyo ni sawa na kuhoji service chaji ya Tanesco wakati kwenye simu au king'amuz hamna.
Kaka Jambazi kila jambo na wakati wake! Leo tunajadili kuhusu "Loan Processing fee" inayotozwa na mabenki yetu hapa Tanzania.Kuhoji iyo ni sawa na kuhoji service chaji ya Tanesco wakati kwenye simu au king'amuz hamna.
Kwa hiyo inakuwa kama vile mkopaji unaadhibiwa. Maana mojawapo ya jukumu la Benki ni kufika kwa mteja ili kumkagua (Assessment) na kama gharama hizo zinalipwa na mteja ina maana benki haina bajeti ya kuwatembelea wateja wao ili kuwakagua? BOT haina masharti kwa mabenki kuonesha kwamba yanaweza kuwatembelea wateja wao kabla ya kuwakopesha?Ngoja tuwekane wazi hapa, unapokopa unakatwa gharama za kuprocess huo mkopo, mfano afisa atahitaji kufika kwa mwajiri wako au sehem yako ya makazi na biashara. Hii hujumuisha pia insurance au bima ya mkopo na gharama zingine ndogo ndogo kama wanasheria and so forth.
Funzo, ukihitaji mfano 20million usikope 20m ongeza japo laki 2 yaani kopa 20,200,000 ili upate pesa kamili.
Navumilia kuwa mtanzaniaa!!!
haya mambo yapo Tanzania ya Magufuli tuu!!!!
Kweli ni hatari!!Mimi nimekatwa juzi tu tsh 275,680.345
Wanaitaga 'loan processing fee'. Kwa hiyo ndo inafidia waliokufa? Hao wakafidiwe na Mungu. Hakuna mtu anapenda kufa bana. Ni wezi tu.Hiyo ni bima ya mkopo ikiwa utakufa kabla ya kumaliza marejesho
Duniani kote mabenki yapo hivyo