Ukishindwa kuanzia padogo unapoweza utakuwa mtazamaji wa wengine wakifanikiwa. Kikubwa Mwamini Mungu. Uwe na taarifa za kutosha juu ya unachotaka kufanya ukiona kuna jambo huelewi vizuri jifunze then anza hata kama ni padogo utafanikiwa mbeleni lkn kuogopa kuanzia padogo hautafanikiwa
Sababu kuwa.
1. Kukosa stadi za maisha za kufanya mambo ya kiuchumi kulingana na mazingira yao na wenye stadi wana hofu ya kujaribu na kutokuwa tayari kuanzia padogo.
2. Wengi wana mawazo mazuri ya nn cha kufanya lakini hawana kianzio(mtaji) na mara nyingi ni kwasababu wanaona aibu kuanza kitu...
mimi ninataka kuingiza CERTIFICATE in Early child Education na haijatokea ndo kilichonileta jf vp ww umefanya nini maana hapo ndo nimekwamia. msaada Please
habari zenu.
samahani nahitaji msaada ninafanya maombi ya passport kubwa ya kusafiria lakini nilipofika kwenye page ya kuingiza taarifa za wazazi baba na mama ninapata error inayosema tarehe siyo sahihi na wakati tarehe hizo zipo sahihi naweza kufanya nini maana bila kurekebisha hapo siwezi...
Kwenye picha hizo hapo juu, utaona watu wawili wameketi kwenye pikipiki. Inaweza kuonekana kawaida kwa baadhi ya watu kwa muonekano wa haraka. lakini kiuhalisia, lakini hao waliokaa nyuma ya dereva siyo watu walio hai: ni miili ya watu waliokufa.
Nilidhani naujua uhalisia wa umasikini lakini...
Habari za muda wana Jamii Forums,
Samahani na napenda kupata msaada wa kujua gharama za kukodisha eneo kwaajili ya mnara kwenye eneo la mita 30*30 bei imefika shingapi? 2021 hii.
Na mambo gani yakuzingatia kwenye mchakato mzima ikiwepo mkataba.
Asanteni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.