Recent content by i-store

  1. i-store

    JamiiForums Tanzania Haya ndio magari chaguo langu

    Gari za Warembo zote hizo.
  2. i-store

    JamiiForums Tanzania Nina huzuni sana, mume wangu kaniaga anaenda Nairobi kikazi, nilipomfikisha Airport kasema nimdrop Terminal ll

    Terminal II pia hutumika kwa intern flights, terminal I ndo for only local flights
  3. i-store

    JamiiForums Tanzania Tulimsomesha kwa tabu akang'ang'ania kuolewa, mwisho wa siku akatelekezwa na mapacha

    Ndo mtoleo huo. Imeshaisha.
  4. i-store

    JamiiForums Tanzania CCM msipowapelekea Watanzania Rais Samia Uchaguzi ujao mtakuwa mmewakatisha Tamaa na kuwavunja moyo sana

    Uko kanda ziwa sehemu gani boss?
  5. i-store

    JamiiForums Tanzania CCM msipowapelekea Watanzania Rais Samia Uchaguzi ujao mtakuwa mmewakatisha Tamaa na kuwavunja moyo sana

    Huku kanda ya ziwa atapata shida sana.
  6. i-store

    JamiiForums Tanzania Hivi idara ya usalama wa taifa wa Tanzania inahusika na kila kitu hadi uuzaji wa nyanya na vitunguu magengeni?

    Aliyeleta mada alikuwa sawa ila aishindwa namna ya kuiwasilisha. FYI usalama wa nchi sio kuipigajia ccm ibaki madarakani (kama ilivo kwa sasa). Usalama wa nchi ni lidude lipana hivi? Mfano ukosefu wa fedha za kigeni unaweza sema ni ishu ya kiuchumi tu ila ni purely usalama na mfano wa pili...
  7. i-store

    JamiiForums Tanzania Ninahitaji Mwekezaji kwenye biashara yangu ya uzalishaji wa vipodozi

    If it was that simple ungeshakuwa umepata. Hio elimu ya fedha unayozungumzia ni ipi!! So unazani unaelimu hio kunizidi mimi! Im not sure. 10m ni hela ndogo sana and yet unakuja kuomba mwekezaji JF. Tunakupa options unaleta dharau eti elimu ya fedha. Fyi hata ungehitaji 50m ipo under my capacity...
  8. i-store

    JamiiForums Tanzania Ninahitaji Mwekezaji kwenye biashara yangu ya uzalishaji wa vipodozi

    Najua. Najua pia ugumu wa mtu mwenye mtaji kuweka imani tu na kukupa huo mtaji. Kama ni mwislamu nenda NBC wana service zinazofuata misingi hio, islamic banking.
  9. i-store

    JamiiForums Tanzania Ninahitaji Mwekezaji kwenye biashara yangu ya uzalishaji wa vipodozi

    Jane!? How imani plus Riba? Kwani mtu akiwekeza si anapewa hio 10% (hio si sawa na riba)? Au shida kuitwa riba? Any way kila la heri.
  10. i-store

    JamiiForums Tanzania Ninahitaji Mwekezaji kwenye biashara yangu ya uzalishaji wa vipodozi

    Kwa hii idea. Nenda bank kuna dirisha la wajasiliamali wadogo. Nenda na financial report zote. Naona hii itakuwa njia sahihi.
  11. i-store

    JamiiForums Tanzania Ajira mpya: Ushauri wa kuacha Kazi

    Kazi kwake
  12. i-store

    JamiiForums Tanzania Ajira mpya: Ushauri wa kuacha Kazi

    Huwezi kuwa tajiri kwa mshahara. Acha kazi kapige mitikasi. Usisikie la mtu .. maisha ni yako. Ila kuacha kazi kwa sasa ni mapema sana. Jaribu kuwa mbunifu fanya biashara huko huko na piga ajira. Baada ya mwaka omba kuhama.
  13. i-store

    JamiiForums Tanzania Kwanini dhehebu la SDA huwa wanalishambiulia zaidi Kanisa Katoliki na siyo madhehebu mengine?

    Siku ya kwanza ni jumamosi sio jumapili. Mosi ni moja na pili ni mbili then jumatatu. Kimsingi siku ya saba ni ijumaa.
  14. i-store

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje waandishi wa Biblia waliendelea kuandika hata baada ya kufa? Mtu kafa na kuzikwa halafu bado anaendelea na simulizi

    Biblia sio noval. Yafaa kukaa kimya maana yaweza ficha ujinga wako
Back
Top Bottom