Pole mamy wachukulie kama walivyo saa zote vichwa vyao vya chini ndio vinaongea kwenye swala la mahusiano wasamee bure dear...utapata tu mwanaume wakò aliyekupangia Mungu but kwa mimi ninavyoamini kila kitu kinaenda na maombi...wala usitafute funga omba atakuja mwenyewe mpenzi usitafute kabisa...
Kweli nimeamini adui wa mwanamke ni mwanamke...kupenda maisha ya shortcut...sisi wanawake tulivyo anakutega huyoo mtu bado anaenda chuo mtoto wa nini?? anajua una mke hamuonei huruma mwanamke mwenzie pamoja na watoto tena kwa mshahara laki mbili....haya endeleeni na michepuko sukari elfu tatu kilo
Mimi natamani akufanyie kitu ambayo itakuwa funzo kwa wanaume wa bongo.... mmezidiiii yani mnafanya michepuko kama kitu cha kawaida kabisa kisa nyege mshindo sasa ule jeuli yako
Kuna mwanaume ambaye amewahi kujifungua huko bara la Asia kama nakumbuka vizuri....inawezekana kweli,,, but anaonekana hataki kufunguka zaidi anaongea kifupi tu
Umeshasema hiii ni TZ sio marekani ni TZ ndugu ni third world country usilinganishe tunatakiwa tu focus mambo ya maendeleo sasa ikiwa viongozi wenywe wana ignore mambo ya maana what do you expect??? lazima tuwe disappointed nao....wake up bado umelala??
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.