Kwa wanaume wa Dodoma tu!

Kwa wanaume wa Dodoma tu!

Duh, kuna watu mabaradhuri humu, sifa kupata wake hawana, kazi ni kukatisha tamaa wenzao na kuwakashifu.

Kukaa kimya ni hekima, kama huna sifa tulia
Mna ndimi zenye sumu kama fira.

Vv
 
Binti usiwe na mashaka wala kuumizwa na maneno ya humu kwani hii ni jamii kama zilivyo jamii za huko mitaani....kwa maana kuna mpaka wendawazimu na wenye akili timamu...tofauti ni kuwa wendawazimu wa huku wanajua kutumia vifaa vya electoniki.......kuwajibu ni sawa na kuupoteza muda wako ambao ni dhahabu... na wenye tahamani kuliko hata hao wapuuzi wachache.....hata hao wenyewe hawajui mama zao waliolewa wakiwa na miaka mingapi na wengine wana dada zao ambao hawajaolewa na wamezalia hapo hapo nyumbani............

Hawa wahuni wachache wanaokujibu utumbo wasikuyumbishe na kukupotezea muelekeo kwenye maisha yako ambayo tayari yana mwanga kwani hao wanaokunanga ukija kuchunguza wengine ni watoto wanaokula na kulala bure kwenye majumba ya baba zao....

Kwanza nashukuru kwa Mungu kukufungulia uhitaji wa kuwa na mume hiyo ndio stara pekee kwa mwanamke...endelea na dhamira yako hiyo hiyo kwani daima muumba huwa pamoja na wenye dhamira njema.....na naamini mungu atakutimizia hitaji la moyo wako hata kama ikiwa sio hapa.......

USIKILIZE MOYO WAKO.....
 
Sioni sababu ya kumshambulia huyu binti.
Kila mtu anamapito yake hapa duniani. Usikate tamaa dada yangu, Mungu atakupa hitaji la moyo wako. Mimi nimelazimika kujitoa kwenye kinyang'anyiro kutokana na kigezo cha umri, nipo 40+
 
Sorry, kama kuna mtu amekwaza sijamdharau mtu na baona watu wamenishambulia buree sijaona kosa langu, yes am older now badala ya kunishambulia kwanini usiulize inawezekana kuna mambo yamesababisha,and not all women wanaolewa na hiyo miaka 24-27,naona watu wanatukana sio hivyo mnavyofikiria wala mi sio mtu wa maringo, najitambua but sometimes kuna vitu vinatokea katika maisha hujui kwanini ila ndio vinakuwa vimekupata hivyo u need to accept, nilipokuwa chuo mwanaume niliyekuwa na uhusiano nae alimpa mimba msichana wa hapohapo nikawa nashuhudia wanalea mimba hadi wanazaa infront of my eyes and he was my first guy ! niliumia mungu alinisaidia nikamaliza kwa kufaulu but nikaamua tu kuwa mbali na wanaume! ,nimepata kazi that guy kaachana na yule dada anataka kuja kwangu nikakataa, nikapata uhusiano na mwanaume anakaa mwanza ndoa ya mbali tena mwanzoni nimeona hapana nahitaji wa hapa hata kama baadae tukiseparate but at least mwanzoni tuishi wote! Sijaelewa kwanini wanaume wameanza kutukana!
Dada, unawaza vizuri sana, Mungu akufanikishe.

Nikwambie tu dada yangu, you are still a girl, matured and deserve the best husband; experience you have passed through makes you to be a material wife. Mwombe Mungu, naye atakupa haja ya moyo wako.

Vv
 
Mimi ni mdada wa umri wa miaka 29,naishi Dodoma mjini, natafuta mwanaume ambaye makazi yake ya kudumu ni Dodoma ili tufanye maisha i really need a family now! . Mimi ni mkristo and I am a committed christian, nimeajiriwa ,elimu yangu ni bachelor degree for now, Ningependa mwanaume mkristo pia awe na kazi, ni vyema akiwa na elimu kuanzia bachelor degree na kuendelea .Umri kuanzia miaka 29 hadi 38.Mengine tutafahamishana pm . Nashukuru I believe Iwill meet good people with respect.
 
aise dunia haiwezi kwisha maajabu yani unatafuta mwanaume kupitia JF utadhani huko unapoishi wanaume wamekwisha kuwa makini aise husijekupotea
Bro, unam-criticise kwa kutafuta mwenza JF, mbona wewe umo JF? Naamini hata wewe umejuana na watu wengi kupitia JF. Kwa taarifa tu ni kuwa hakuna formula kwenye haya mambo.

Vv
 
Mimi ni mdada wa umri wa miaka 29,naishi Dodoma mjini, natafuta mwanaume ambaye makazi yake ya kudumu ni Dodoma ili tufanye maisha i really need a family now! . Mimi ni mkristo and I am a committed christian, nimeajiriwa ,elimu yangu ni bachelor degree for now, Ningependa mwanaume mkristo pia awe na kazi, ni vyema akiwa na elimu kuanzia bachelor degree na kuendelea .Umri kuanzia miaka 29 hadi 38.Mengine tutafahamishana pm . Nashukuru I believe Iwill meet good people with respect.
Nitext kwenye namba 0752537281
 
dodomatu alafu umewabania namna hiyo utawapata kweli?mh sijui labda dodoma ke ni wachache kuliko wanaume
 
Overblessing - wewe kamata lengo lako tu, kuna watu wachache watakuja na dhihaka na kutaka kuvunja moyo, usifuate hayo wewe angalia mbele tu sababu umechukua uamuzi wa kijasiri sana wa kusonga mbele na maisha na utafanikiwa kwa uwezo wa Mungu. nakuatakia kila la heri.
 
Page ya kwanza tu nimecheka balaa, dada wa watu kaweka mada yake anatafta mtu wa kumpa faraja jamaa washafika na maneno yao mbofu mbofu.

Kuweka tangazo humu unahitaji moyo aisee, ndio maana watu wengine hawaweki vigezo anasema vigezo pm ili kuepuka mashambulizi kama haya.

Natumaini dada utapata hitaji la moyo wako. Pole sana.
 
Hivi huko mtaan anaanzaje kumtongoza me, na akimkatalia aibu ataiweka wapi , na walioko mtaan hawana vigezo anavyotaka au kagua mtaan kwako ni wangapi unaowafaham wenye vigezo alivosema.jaman Aachen awa Dada wanawakati mgumu sana Sena tu wanavumilia wangekuwa me wangebaka kila siku
aise dunia haiwezi kwisha maajabu yani unatafuta mwanaume kupitia JF utadhani huko unapoishi wanaume wamekwisha kuwa makini aise husijekupotea
 
Hivi huko mtaan anaanzaje kumtongoza me, na akimkatalia aibu ataiweka wapi , na walioko mtaan hawana vigezo anavyotaka au kagua mtaan kwako ni wangapi unaowafaham wenye vigezo alivosema.jaman Aachen awa Dada wanawakati mgumu sana Sena tu wanavumilia wangekuwa me wangebaka kila siku
tatizo na wao wanaeka vigezo lukuki hata maofisin ingekua wanaeka vigezo vya kupata wafanyakazi kama hawa wanaotafta wachumba humu wote tungeishia kuuza sigara na karanga mtaani au kuchimba mashimo ya vyoo.mtu anataka mume lakin vigezo mara awe mweupe awe na diploma nk.hivi vyote kwenye ndoa vinahusikaje?maisha ya ndoa sio filam za kibongo
 
Sorry, kama kuna mtu amekwaza sijamdharau mtu na baona watu wamenishambulia buree sijaona kosa langu, yes am older now badala ya kunishambulia kwanini usiulize inawezekana kuna mambo yamesababisha,and not all women wanaolewa na hiyo miaka 24-27,naona watu wanatukana sio hivyo mnavyofikiria wala mi sio mtu wa maringo, najitambua but sometimes kuna vitu vinatokea katika maisha hujui kwanini ila ndio vinakuwa vimekupata hivyo u need to accept, nilipokuwa chuo mwanaume niliyekuwa na uhusiano nae alimpa mimba msichana wa hapohapo nikawa nashuhudia wanalea mimba hadi wanazaa infront of my eyes and he was my first guy ! niliumia mungu alinisaidia nikamaliza kwa kufaulu but nikaamua tu kuwa mbali na wanaume! ,nimepata kazi that guy kaachana na yule dada anataka kuja kwangu nikakataa, nikapata uhusiano na mwanaume anakaa mwanza ndoa ya mbali tena mwanzoni nimeona hapana nahitaji wa hapa hata kama baadae tukiseparate but at least mwanzoni tuishi wote! Sijaelewa kwanini wanaume wameanza kutukana!
Pole mamy wachukulie kama walivyo saa zote vichwa vyao vya chini ndio vinaongea kwenye swala la mahusiano wasamee bure dear...utapata tu mwanaume wakò aliyekupangia Mungu but kwa mimi ninavyoamini kila kitu kinaenda na maombi...wala usitafute funga omba atakuja mwenyewe mpenzi usitafute kabisa muombe Mungu tuuu sikio lake sio zito
 
Ngoja nikuunganishe na huyu ndg yangu, toka mwaka jana anatafuta mke mpaka leo ananiambia hajapata na kumbe wewe upo huku..?!

Ila anakunywa sana, lakin mi na wewe tutamrekebisha, sio m'bishi, huenda akawa na mastress ya upweke ..!!

Upo mtaa gan, nyumba gan ama simu No.
 
Mimi pia niko Dodoma, je nitaruhusiwa kucheki engine kama iko vizuri kabla ya mambo mengine?
 
mwenye "degree na kazi" wakipewa nafasi wanaweza...!!!Najaribu kutafakari mwanaume akiwa hapa anatafuta kazi mara chache sana kukisikia hiki kigezo...baadae utasikia,"tupewe haki sawa"...anyways najairibu kuwaza kwa sauti!...kwa mbali naona kama umeconstrue..mwanamke pochi,sema kwa maneno tofuti! Goodluck anyways...wakati nao my criteria was simple,who truely loves me and who is life focus only that was enough!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom