Hapa ndipo mnabugi big time! Yaani mambo mengine yote kwenye maisha: kukaa, kutambaa, kusimama, kutembea, kula, kunywa, kusoma, kuandika, fani zote...ufundishwe na waliokuzidi umri. Ila ikifika kwenye jambo muhimu kabisa tamu la kiasili, mnaanza drama eti date wa umri wako! Nyie vipi?!😳😳😳
Ndiyo...