Recent content by hypersonic bomber

  1. H

    JamiiForums Tanzania Msikiti wa Majini (Masjid al-Jinn) ni moja ya sehemu za kipekee mjini Makkah

    Umeshaishiwa point unazunguka zunguka tu na majini yako. Juzi wenyewe kwa wenyewe mmetumiana majini mmemuua mwenzenu kwa jinsi mlivyo na roho mbaya yaani hampendani kabisa. Mnafitiniana wenyewe kwa wenyewe.
  2. H

    JamiiForums Tanzania Msikiti wa Majini (Masjid al-Jinn) ni moja ya sehemu za kipekee mjini Makkah

    Ndugu zangu mnapoteza muda kumuelekeza huyu mfuga majini. Save your energy.
  3. H

    JamiiForums Tanzania Msikiti wa Majini (Masjid al-Jinn) ni moja ya sehemu za kipekee mjini Makkah

    Achana naye mfuga majini huyo.
  4. H

    JamiiForums Tanzania Kukulana mchana vs kukulana usiku

    Game inapigwa muda wowote cha msingi hisia tu. Nyege zikipanda mnaweza kukiwasha muda wowote na game ikaeleweka iwe asubuhi,mchana,jioni au usiku. Nafikiri kinacho-athiri ubora wa game:- i)Usafi wa mwili,mavazi na viungo kama kinywa,uke,uume,pumbu,makalio,kwapa n.k na hii ni kwa wote mwanamke...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini Putin aliamua kuwa kapera/bachela?

    Una mtazamo wa kizamani sana. Wake up bro/sister.
  6. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini Putin aliamua kuwa kapera/bachela?

    Hata waliopo kwenye ndoa pia wanapata magonjwa ya zinaa. Putin ni mwerevu sana maana anajua changamoto ya kuishi na kiumbe chenye akili lakini hakijui kuitumia bali kinatumia hisia.Ni rahisi sana kukuvuruga. Halafu nani kakwambia kama hujaoa huwezi sex.Unagonga anasepa zake no permanent...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Siku ukiona namna mwanamke anavyokua na anavyobehave akiwa na mwanaume aliempenda kwa dhati basi utaacha kuwafukuzia wanawake ili ukae kusubiri wako

    Kwa kiasi fulani andiko lako lina mantiki. Ukiona unatumia nguvu sana kupata upendo toka kwake basi ujue utateseka sana na huyo mwanamke. Mwanamke akikupenda most of the times anakuwa naturally submissive na anatimiza majukumu yake bila shuruti au mpaka umfanyie kitu fulani na huwa anadumu...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Baada ya Iran kuona dalili zote kuwa Itashambuliwa tena na Israel yaanza kujihami mapema!!!

    Nafikiri kwa sasa wanatakiwa watumie silaha nzito zaidi ya zile walizotumia. Wasiwe na huruma sana ya kidini bali wapige missiles nzito sana zi takazomaliza shughuli mapema yaani mambo yasiwe mengi.Mtu anataka kukuangamiza halafu unamchekea chekea.
  9. H

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya Moyo na Koti Jeusi- Jamani analia sana

    Hawa wambea na watu wa ovyo wa Vijiweni taarifa zao hazipaswi kupuuzwa.
  10. H

    JamiiForums Tanzania Rostam Aziz ndo anaendesha Serikali(?)

    Una blah blah nyingi sana pamoja na kiingereza kingiiii. Njo kwenye field huku ujionee achana na hizo nadharia zako za darasani.
  11. H

    JamiiForums Tanzania Rostam Aziz ndo anaendesha Serikali(?)

    Nimefuatilia mazungumzo yenu ila ninachoona unang'ang'qnia tu kusema jamaa anatumia chat GPT ila wewe hutoi facts zozote za kupinga anachokisema. Jamaa kwa kiasi kikubwa anachokiongea kina ukweli. Asilimia kubwa ya makaa ya mawe ya Tanzania ni kweli moisture content yake ipo juu na carbon...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Rostam Aziz ndo anaendesha Serikali(?)

    Unaongea kitu unachokifahamu.Big up sana.Huyo mwingine naona anaongea pumba tu hana point yoyote.
  13. H

    JamiiForums Tanzania Wachaga waendelea kukimbiza Wakinga, waongoza Tanganyika utajiri

    Tatizo la watu kushindwa kujieleza kwa maandishi ni kubwa sana.Kwa uandishi huu nyie ndo mnawekeza sana kwenye elimu?Rudi tena shule (ashakum si matusi).
  14. H

    JamiiForums Tanzania Polepole apuuzwe, tuliosoma naye tulimuita Polisi/Usalama

    Nikuulize tu.Je,alichoongea Polepole kwa akili yako unaona ni uongo, hakina mantiki wala maslahi yoyote kwa taifa na kinapaswa kupuuzwa?
Back
Top Bottom