Wagumu Tunadumu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2022
- 7,591
- 23,270
Jamaa ana kipisi tena kibichi huwa anakojolea
Hata waliopo kwenye ndoa pia wanapata magonjwa ya zinaa.Utakapo baka na kutiwa ndani au ukibeba gonjwa la zinaa,ndipo utapojua kuoa au kuolewa ni raha sana na unakua huru.
Una mtazamo wa kizamani sana.Ndio,yaweza kutokea hatukatai,lkn kwa asilimia ndogo sana, tofauti na wewe ambae ujaoa au kuolewa,gonjwa la zinaa ni nje nje,kwa kua amuaminiani.
Okay,basi umeshinda,acha tuliopitwa na wakati tuendelee kua na ndoa.Una mtazamo wa kizamani sana.
Wake up bro/sister.
Mama yake yesu na babake yesu walifunga wapi ndoa hao?baba yake yesu anaitwa nani
Mama yake na baba yake wanaishi pamoja au hapana
Kupata watoto sio lazima uwe na mke. Ni kuwa na mwanamke tuuUtakuta wewe hapo una mke na watoto labda hata wake unao na michepuko juu. Na baba yako asingekuwa na mama yako usingeonekana kabisa. Watu kwa unafiki hamjambo.
Putin hayo ni madhaifu yake tu na wala sio cha kumsifia.