Recent content by hyperbolic

  1. hyperbolic

    JamiiForums Tanzania Rwanda wamepiga marufuku "Adhana" Alfajiri

    Siungi mkono suala hilo, Rwanda wana mambo ya kiwaki sana
  2. hyperbolic

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu (HESLB) mbona tunaongezeana deni kila mwezi, shida nini?

    Mi mwenyewe nimeangalia salary slip ya mwezi wa pili nimekuta limeongezeka badala ya kupungua, na hakuna ufafanuzi wowote ambao bodi wametoa
  3. hyperbolic

    JamiiForums Tanzania Walimu sita wanalazimika kufundisha zaidi ya Wanafunzi 700 Sekondari ya Mwabusalu-Meatu

    Hapo kwenye kutaja majina nahisi kama haijakaa sawa, japo una hoja nzuri
  4. hyperbolic

    JamiiForums Tanzania Nyoka Koboko au Black Mamba

    [emoji3][emoji3] nouma Sana, kwamba ni show show yaani
  5. hyperbolic

    JamiiForums Tanzania Serikali imefuta pia adhabu ya 10% inayotozwa na Bodi ya Mikopo kwa wanaochelewa kulipa deni

    Hata mi ndilo swali ninalojiuliza, na je wale ambao wameshaanza kulipa tayari,deni lao litapunguzwa katika mfumo upi?
  6. hyperbolic

    JamiiForums Tanzania Dkt. Bashiru Ally pole lakini maneno huumba

    Zig zag graph[emoji3]
  7. hyperbolic

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nani mkweli kati ya hawa watu? Spika, NEC au CHADEMA?

    Hivi kweli eti Ndugai leo amegeuka kuwa mtetezi wa wabunge wa CHADEMA? najaribu tu kuwaza
  8. hyperbolic

    JamiiForums Tanzania Nimefurahi sana kwa Askofu Gwajima, Gambo, Kigwangalla na Makonda kukosa Uwaziri

    Hata mi nimefurahi sana
  9. hyperbolic

    JamiiForums Tanzania DC Katambi: Wabunge wa upinzani wanaongoza kwa biashara ya kununua huduma za makahaba jijini Dodoma, orodha ya majina yao ninayo.

    Any way anataka wamnunue mama yake! Akili zingine bwana
  10. hyperbolic

    JamiiForums Tanzania Zitto: Mapato ya mwezi Mei hayatoshi kulipa mishahara, Serikali imeamua kukubali kulipwa USD mil 100 ya Acacia na iliyosalia kwa awamu hadi miaka 5

    Si huwa tunaambiwa nchi ina akiba ya fedha ya kutosha jamani, imekuwaje tena? Sent using Jamii Forums mobile app
  11. hyperbolic

    JamiiForums Tanzania Tangu hotuba ya Magufuli Chato mbele ya wakuu wa Vyombo vya Dola msitegemee kutangaziwa wagonjwa wapya wa COVID 19

    Sasa hivi watakuwa wanatangazwa waliopona tu Sent using Jamii Forums mobile app
  12. hyperbolic

    JamiiForums Tanzania Dunia imepumzika, Usawa umerudi, Afrika imeshangaza Corona itaondoka kama ilivyokuja.. Bila tiba wala kinga

    Mapema Sana kuanza kusema hayo brother Mungu atunusuru tu! Sent using Jamii Forums mobile app
  13. hyperbolic

    JamiiForums Tanzania Rwanda confirms 1st Corona Virus case

    Bila Shaka hata Tanzania tayari ugonjwa upo, sema tu kwamba hatujamgundua bado aliyenao Sent using Jamii Forums mobile app
  14. hyperbolic

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwambieni yule dogo aliechezea simba kutembea na mke wangu, Stamina hold on pls

    Hivi mwanaume machine kaimba Stamina, basi sawa Sent using Jamii Forums mobile app
  15. hyperbolic

    JamiiForums Tanzania Deni la Taifa lafikia Trilioni 55, huku tukijenga miradi kwa fedha za ndani

    Tanzania ni nchi tajiri, afu deni linakuwa kwa speed mwanga, maajabu ya dunia Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom