Nyoka Koboko au Black Mamba

Nyoka Koboko au Black Mamba

Ila Sasa mkuu umeanza kutoka kwenye uhalisia unaanza comedian Sasa nimecheka mno
Mi nakwambia ukweli....kijijini kwetu koboko wamejaa ka mchanga

Nikianza kuhesabu watu aliowaua sina hata idadi

Ishu iko hivi akikuona we hujamuona huwa hana time kabisa ( na ni lazima akuone kabla hujamuona)...balaa ni pale mtakapogonganisha macho, yaan akajua kuwa umemuona, hakuachi kwa sababu utaenda kutangaza huko kwa watu kuwa umeona nyoka mje wengi mumuue so anakuwahi... ( Ndo maana kijijini kwetu wanamhusisha na ushirikina kwa hizo akili zake

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Hiyo ni habari nyengine,akikuuma uka-survive bite lake unabaki na mtindio wa ubongo (unakuwa taahira).

Huyo jamaa yupo barabarani may be kamkuta kagongwa na gari (ndo kinachouwa zaidi jamii ya hawa nyoka kutokana na ukorofi wao kujifanya wanapigana na kila kiumbe maana yeye hajui kukimbia adui falsafa yake ni chicken sport piga nikupige) so kaona atafute ujiko kuwa kamuuwa yeye.
 
Mbona anaonekana ni mrefu sana, watu wanavyodai anasimamia mkia, akisimama c anamzidi binadam kama mara 2, ni ngumu sana kupambana nae, sijajua kama ukikutana nae af ww ukatulia tu bila kujitingisha atakudhuru? au ataona huhitaj ugomvi atakuacha na kuondoka
 
Hiyo ni habari nyengine,akikuuma uka-survive unabaki na mtindio wa ubongo (unakuwa taahira).

Huyo jamaa yupo barabarani may be kamkuta kagongwa na gari (ndo kinachouwa zaidi jamii ya hawa nyoka kutokana na ukorofi wao kujifanya wanapigana na kila kiumbe) so kaona atafute ujiko kuwa kamuuwa yeye.
Mkuu uko very correct....nimehisi kitu kama hiki baada ya kuona hiyo picha

Huyo koboko aliyebebwa hapo ni mkubwa sana, hicho kijamaa hakina uwezo wa kumuua hata chembe

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Mbona anaonekana ni mrefu sana, watu wanavyodai anasimamia mkia, akisimama c anakumzidi binadam kama mara 2, ni ngumu sana kupambana nae, sijajua kama ukikutana nae af ww ukatulia tu bila kujitingisha atakudhuru? au ataona huhitaj ugomvi atakuacha na kuondoka
inabidi tujaribu mkuuu?
 
Watu wengi waliokutana nae wakatulia wakasali sala zao mwisho wameokoka hakuwagusa, ila ukijifanya we ni mwamba, unakimbia huku unapiga makelele...ni anakukimbiza huku anakugonga double double mpaka unageuka rangi ya chungwa

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Hiyo ni habari nyengine,akikuuma uka-survive unabaki na mtindio wa ubongo (unakuwa taahira).

Huyo jamaa yupo barabarani may be kamkuta kagongwa na gari (ndo kinachouwa zaidi jamii ya hawa nyoka kutokana na ukorofi wao kujifanya wanapigana na kila kiumbe) so kaona atafute ujiko kuwa kamuuwa yeye.
Pia siafu mahali walipo n lazima ahame
 
Back
Top Bottom