Recent content by Huyu Ndiye

  1. H

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kwenda msibani Zimbambwe ameandika Askofu Emaus Mwamakula

    Hivi huyu ni Askofu wa dhehebu gani? Kuna jamaa mmoja alikuwa kwenye madini au soka, alikuwa anaitwa Askofu. Kama uaskofu wake kama wa hawa Mababa Askofu tunaowajua, basi kuna shida mahali.
  2. H

    JamiiForums Tanzania HOJA Kanisa Katoliki lifanye uchunguzi wa Kwaya ya Kanisa la Sinza, kuna ‘upigaji’ na ukiukwaji wa maadili

    Acha uhanaharakati, fuata channel ya dhehebu lako kufikisha malalamiko yako kwenye Parokia yako na hatimae Jimboni kwako. Unakuwa kama wale walioenda Ubalozi wa Vatican, au wale waliomdhalilisha yule Sheikh wa zamani wa Jiji Acha uhanaharakati na siasa uchwara, huko sio sehemu yake.
  3. H

    JamiiForums Tanzania Meta wafuta video ya utupu na kukoroma mitandaoni

    Ukiangalia ile video au sijui picha, unaona tumbo kubwa kama puto hata yule kepten wa kwaya hakuwa na tumbo kama lile. Bwana mkubwa ajipange, maana kila mara matukio tofauti.
  4. H

    JamiiForums Tanzania Nchimbi vs Ndejembi: Kwenye international stage, nani anaiwakilisha Tanzania vizuri zaidi?

    Anaweza akaja kuwa Rais kimasihara tu
  5. H

    JamiiForums Tanzania Nchimbi vs Ndejembi: Kwenye international stage, nani anaiwakilisha Tanzania vizuri zaidi?

    Huwezi kufika ile nafasi ya juu, halafu usiwe Askari.
  6. H

    JamiiForums Tanzania WANAUME LINDENI MALI ZENU.HAPA DUNIANI MALI NDO UTAMBULISHO WA MWANAUME.

    Kwa mama ulizaliwa peke yako? Ndio unakuta mama anafariki ghafla, malo unagawana na ndugu zako. Mali za watoto zinageuka za ukoo.
  7. H

    JamiiForums Tanzania WANAUME LINDENI MALI ZENU.HAPA DUNIANI MALI NDO UTAMBULISHO WA MWANAUME.

    Kumbe jamaa ni bachelor, sikusoma vizuri. Hatuna cha kujadiliana nae.
  8. H

    JamiiForums Tanzania WANAUME LINDENI MALI ZENU.HAPA DUNIANI MALI NDO UTAMBULISHO WA MWANAUME.

    Mtafungwa sana na mali mtabaki kuzitazama kwa macho tu, na watoto mtaacha wakiwa.
  9. H

    JamiiForums Tanzania WANAUME LINDENI MALI ZENU.HAPA DUNIANI MALI NDO UTAMBULISHO WA MWANAUME.

    Mali ni vitu vya kupita, ndio maana siku hizi ukigombea mali, unaachiwa, mwanaume anaenda kuanza upya. Kama ni mtafutaji, ni mtafutaji tu.
  10. H

    JamiiForums Tanzania Meta wafuta video ya utupu na kukoroma mitandaoni

    Kale kavideo feki kalianzia kwa mwanaharakati na kiongozi wa CHADEMA. Mange anawaambia waache kutumika kwa maslahi ya wengine, kwa lugha rahisi, waache kununulika kirahisi.
  11. H

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Vijana tafuteni connection, mkiwa na connection hata huo mnaouita mfumo hamtahangaika nao.
  12. H

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Kwanini mkeo asiombe uhamisho kukufuata wewe? Maana hiyo ndio rahisi sana.
  13. H

    JamiiForums Tanzania Za Lameck zinahesabika?

    Atapatikana mbadala wake soon, tena anaweza akawa yule ambaye hata Urais hajawahi kuutamani. Imeshaidhinishwa hadi kwenye ulimwengu wa roho.
  14. H

    JamiiForums Tanzania 🧠 Intuition vs Reasoning: Ipi Inapaswa Kuongoza?

    Kwanza haitaji reasoning.
Back
Top Bottom