Recent content by huria

  1. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Nawezaje kupiga bao la kwanza baada ya nusu saa

    Vijana wa ovyo kabisa " kupiga bao la kwanza kwa wanaume wengi 95% huwa kati ya dakika 2-5, sasa wewe jidanganye utake kwenda kinyume na nature"
  2. H

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kuna vita ya kikoo kwa sasa inaendelea Tarime kimya kimya, baina ya koo ya Wanchari na Wakira

    Kuna vita ya kikoo kwa sasa inaendelea Tarime kimya kimya, baina ya koo ya Wanchari na Wakira. Kinachogombaniwa hapa ni mashamba mipakani mwa vijiji vyao. mgogoro huu unasababishwa na tajiri mmoja ambaye anakodisha mashamba ya koo nyingine kwa nguvu huku akidhamini vijana kutoka sehemu...
  3. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kila weekend Kuna mtu mahali anagongewa mtu wake

    Dunia hii hatuna chetu vyote ni vya mungu, we ishi nae tu kwa sababu ameamua kuishi na wewe na hivyo hivyo anauwezo wa kuishi na mtu mwingine. Mtumie wakati uko nae ili siku akiondoka usijutie kumpoteza na akiamua kuondoka mruhusu aondoke kwa roho safi kwa sababu dunia hii atukuumbiwa mbuyu...
  4. H

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Wakazi wa Nyarero- Tarime hatuna maji mwezi wa pili sasa, RUWASA wametelekeza Ofisi,

    Mimi nipo korotambe hapa kata ya mwema tarime, mabomba ya maji tayari yamekamilika ila wazee wa koo hawataki mabomba hayo yatumike kwa sababu wake zao waendelee kufuata maji mtoni kama walivyokuwa wakifanya hapo mwanzo na wanadai eti ni ukisasa wa kuja kuwavurugia ndoa za vijana wao Kwa hiyo...
  5. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwambie mkeo umeandikisha jina la mtoto wenu kwenye hati ya kiwanja na nyumba

    Nilifanya kama challenge
  6. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwambie mkeo umeandikisha jina la mtoto wenu kwenye hati ya kiwanja na nyumba

    Nilimwambia kwa lengo la kubaini reaction yake itakuwaje sio kwamba nilifanya hivo
  7. H

    JamiiForums Tanzania Yesu akirudi leo atasali wapi? Kwa Wayahudi, RC /Wasabato au Kwa Walokole? Au Mashahidi wa Yehova? Naomba majibu

    Sabato ndio amri ya milele kwa hiyo hizo dini ulizozitaja zote zina nadharia ya kutimiza sabato ya kweli Dini zimeundwa kwa matakwa ya jamii fulani ni kama desturi za jamii za wakati huo Kwa hiyo mungu hana dini bali sabato yako ina imani ya kweli ya kuishi katika amri zake kwa kufanya matendo...
  8. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwambie mkeo umeandikisha jina la mtoto wenu kwenye hati ya kiwanja na nyumba

    imani yake kwangu imepungua zaidi ya 50% hysee
  9. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwambie mkeo umeandikisha jina la mtoto wenu kwenye hati ya kiwanja na nyumba

    Mwambie mkeo umeandikisha jina la mtoto wenu kwenye hati ya kiwanja na nyumba Reaction yake rudi kwa mrejesho.
  10. H

    JamiiForums Tanzania Line za lipa namba zina kazi gani kwa mawakala? Wanauza kitu gani?

    Hizi line za lipa kwa sasa zimejaa mtaani kiasi kwamba limetikisa soko kubwa kwa mtandao mzima wa uwakala ambao hapo zamani ulikuwa na faida kibao. Ukiangalia karibia mawakala wote wana line za lipa na huku vibanda vyao havina hata bidhaa ambazo zinauzwa Hivi hizi kampuni za simu zimeona njia...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Zanzibar vs Darfur

    Nipo hapa kuelezea uhalisia wa mambo jinsi yalivyo na hii ni kutokana na matukio ya kihistoria ambayo dunia kwa kipindi fulani kimepitia na bado kinaendelea kupitia, vita vya Russia na Ukrein, Israel vs palestinian, bokoharam vs ecowas, M23(rwanda) vs congo n.k Zanzibar kama taifa ndani ya...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Asili ya wazungu na wengineo hii hapa

    Watu wenye asili tofauti na waafrika wenye nywele ngumu ni matokeo ya mwingiliano ya malaika na wana wa wanadamu.
  13. H

    JamiiForums Tanzania Kiswahili kuthaminiwa kwako ndiyo uhuru wetu

    Jikite kwenye dhana ambayo inajieleza hapo juu Hakuna ukoloni mbaya kama ukoloni wa ki-utamaduni. Tunajiita watanzania na lugha yetu ya taifa ni kiswahili, ni lugha ambayo imewaunganisha watanzania na kujiona wamoja Halafu ... Tunategemea lugha za nchi nyingine hasa (kiingereza) kama lugha...
  14. H

    JamiiForums Tanzania NECTA imedanganya umma kidato Cha pili matokeo ni mabaya mno

    Kwa sasa ukipata daraja la D kwenye masomo mawili tu umefaulu Masomo yapo zaidi ya 9 ila kupata D mbili tu imekuwa mtihani
Back
Top Bottom