Recent content by Hunteroflove

  1. Hunteroflove

    Ila jamani crown nyeusi ni bonge la gari, inavutia kweli

    Mkuu unatia chumvi Mbona linapita vizuri tuu kwenye tuta lolote bila ya kugusa
  2. Hunteroflove

    Toyota Crown Athlete - ‘the Japanese Benz’

    Mkuu acha dharau ndo kwanza inamiezi 3 nimeiokota JanJapan hebu cheki chuma kwa picha G package kama pesa unayo katoe 17 Milion ntanunua Soon tairi zote Mma zilizopo zimekuja na gari.
  3. Hunteroflove

    Toyota Crown Athlete - ‘the Japanese Benz’

    Mkuu ni bridge stone mbele nyuma dunlop upande wa kushoto na wakulia ni continental ila zote vipara kasoro tyre moja so nikibadisha nikiweka mpya Dunlop au good year iyo kero itaisha
  4. Hunteroflove

    Toyota Crown Athlete - ‘the Japanese Benz’

    Ola wakulungwa eeeh nimechukua crown ina kama mwezi hivi ila gari inavuma sana nimekagua miguu yote ikosawa itakuwa nini wadau au hizi tairi zilizokuja na gari
  5. Hunteroflove

    Andika hapa ndoto zako za usiku ili kukicha uweze kutafsiriwa

    Ola hebu nitafsirie hii ndoto kuna mda nilishawahi muota wife na sex nae alafu anatoa madini kwenye haja kubwa kila nikimpelekea moto mfano wa vito vinavong'aa vinamdondoka huko kwenye tigo mpaka leo sjapata jibu nikawa nawaza au kuna mtu anamla tigo huyu msaada mkuu
  6. Hunteroflove

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Oya huyo pisi kali anaishi wapi mbona kama namm nishampitia.
  7. Hunteroflove

    Polisi wanaruhusiwa kupokea kesi za madai?

    Wakurungwa washeria mlishindwa kumsaidia huyu mtu
  8. Hunteroflove

    Nyoosha bodi & piga rangi nasi

    Safari njema mkuu
  9. Hunteroflove

    Nimeutua mzigo mzito jana usiku

    Liache liende fala hilo demu alafu mwana mademu km hao sifa yao sio ugumu ukimuona mgumu mgumu na huna future nae piga chini fasta
  10. Hunteroflove

    DOKEZO TAHADHARI: Afisa TRA ahatarisha maisha ya wakazi Mbezi Juu Kwa Sanya kwa kujenga ghorofa 4 bila kibali, kwenye msingi dhaifu wa nyumba ya chini

    Moderator futeni huu uzi 1. Hakuna udhibitisho kama jengo liko chini ya kiwango 2. Hakuna udhibitisho kama mmiliki halali ni yeye. Jamiifroum isiwe chaka la kuaribiana CV za watu yaani hii kama ni chuki na mtu ni sawa na kuchukua picha yake na jengo linalosemekana lake than nichonganishe hii...
  11. Hunteroflove

    Kusafiri gari moja na watu wa jamii ya kifugaji ni kero

    Mkuu umenikumbusha mbali sana yaani wamassai wachafu aisee wakifatwa na wamang'ati na yale mafuta yao bora hata wasukumu na mashuka yao meusi unakuta halifuliwi hilo yaani km waganga na wamang'ati. Wamasai Wengine unakuta hata chupi havai wananuka harufu ya ng'ombeng'ombe.
  12. Hunteroflove

    Tatizo la TRA ni kuwatumia watendaji wapya

    Nimemuelewa vizuri mtoa mada naww km nimfanyakazi wa TRA Lazima utakuwa mzee mwenye chuki na hawa watoto wanao kuja kufanya kazi kama zenu ilo la kutolewa wafanyakazi wote wakongwe haliwezakani huo ni uongo ni sawa nakusema wanaajiriwa madaktari new fresh from school waekwe pale moi bila...
  13. Hunteroflove

    Tatizo la TRA ni kuwatumia watendaji wapya

    Kijana acha wivu nina dogo yuko huko ameajiriwa mwaka jana TRA sasa ulitaka wakajifunzie wapi hizo kazi nyie ndo mnaotangaza experience 15 years graduater waendelee kuteseka mtaani. Hizo kazi siwanafanya chini ya wazoefu na wanaelekezwa ndani ya usimamizi maalum kwa miongozo ya sheria za kodi...
  14. Hunteroflove

    Kuna ukweli hapa

    Kama mnavyo ona ndugu zetu waliopata ajira TRA hili tangazo ni la ukweli maana mwanzo walisema makao makuu TRA walioitwa kazini wanapaswa kufika leo Wanasema ITA Mikocheni na masharti km yote
Back
Top Bottom