Recent content by hunk255

  1. hunk255

    JamiiForums Tanzania Sioni haja ya kwenda chuo

    Kiufupi asome course zitakazo mpa nafasi za operation eg logistics,bandari, ndege nk asiende kozi maarufu zenye watu wengi
  2. hunk255

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kitu gani kilikushangaza mara baada ya kuingia kwenye ndoa?

    Ukipatia unaishi kiboss no stress tumekua zaidi ya vile mwanzo kabla ya kuingia, kikubwa mwanaume ishi kwa akili kubwa tu, vaa nafasi ya uongozi na timiza majukumu yako na uvumilie maudhi madogo madogo hawa wenzetu ni kama watoto...
  3. hunk255

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa kuishi Dar es Salaam ni utumwa na mateso makubwa mno

    Hii kitu ilinikera sna na akifika hapandi anasema hajaipenda siti.
  4. hunk255

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri, nataka kuwekeza kwenye taxi mtandao

    Nenda Efta kawasikilize pia
  5. hunk255

    JamiiForums Tanzania Naweza kupata spray ya kuondoa mikwaruzo kwenye gari?

    Kuna mikwaruzo ile kama ya kupigwa pasi inaacha rangi nyeusi kunae polish inatoa
  6. hunk255

    JamiiForums Tanzania Nani anaweza kutupa historia ya pesa?

    Mimi
  7. hunk255

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Kati ya nyaya za umeme kuzunguka nyumba (electric fence) na kamera za ulinzi (CCTV camera) ipi inafaa kwa matumizi ya nyumbani?

    Nakushauri fuga mbwa spesheli wa ulinzi na watoto utauza its a win win situation
  8. hunk255

    JamiiForums Tanzania Uvunjifu wa Amani CCM, mbona NEC na IGP mpo Kimya?

    Inaonyesha jinsi gani vijana kama hawa wanahitaji ukombozi wa fikra
  9. hunk255

    JamiiForums Tanzania Wadau na wajasiriamali, naomba kujuzwa kuhusu Mr. Kuku Farms na uhalisia wa aina ile ya biashara

    Jamaa yupo Kigamboni na hivyo usemavyo ni kweli na watu wengi wamewekeza pia anasema mradi ukiwekeza unakatia na bima kusudi kujikinga na hasara,wajumbe tusubiri walau walioanza watupe feedback... Sent using Jamii Forums mobile app
  10. hunk255

    JamiiForums Tanzania Wanahitajika watu wa kukamata kitengo cha kuandaa Memorandum & Articles of Association na kusajili kampuni

    Wapigie simu wahusika au pengine ni takataka ilidondoka, hapo ni sawa na gazeti tu hakuna cha maana. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. hunk255

    JamiiForums Tanzania Naomba elimu juu ya Ulipaji wa Kodi zote stahiki za Kampuni baada tu ya kukamilisha Usajili na kuanza biashara

    Hapo kuna 1. income estimates for corporate 30% inayolipwa Mara nne kila baada ya miez mitatu 2. Kuna withholtax mfano rent 10, security 5% kutokana na kila malipo ya rent au huduma kama ulinzi 3. Kuna Payee(mwajiriwa) na (SDL 4.5%,kuna wcf 1% ya gross salary mwajiri) monthly 4.kuna Nssf...
  12. hunk255

    JamiiForums Tanzania Wanahitajika watu wa kukamata kitengo cha kuandaa Memorandum & Articles of Association na kusajili kampuni

    Hapo kwenye admin support account and consulting utaratibu ni nn kujiunga mkuu??? Sent using Jamii Forums mobile app
  13. hunk255

    JamiiForums Tanzania Direct Sales Executive Remuneration

    Yaani unaacha permanent contract unaenda zunguka sales one year contract jitathmini,hukutakiwa hata kuomba DSS???? Sent using Jamii Forums mobile app
  14. hunk255

    JamiiForums Tanzania Kwa yeyote anaeweza kufanya kazi yeyote wakati wa free time aje inbox

    miamiatz, Hii bado ipo???? Sent using Jamii Forums mobile app
  15. hunk255

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tuzungumze familia: Kwanini unatamani/ulitamani kuwa na mtoto?

    Kila mtu anatafuta ambacho hana ila kuwa na kinda ni baraka kubwa sana Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom