Wewe shabik huona makosa zaidi ya mchezaji ila mchezaji anayejua afanyacho hujipanga mapema. Hata mwanafunzi anayejipangamapema ndiye anayefaulu mtihani. Huyu alionesha udhaifu toka mwanzo ila walaumiwe waliomchagua na ajilaumu kwa kutojipanga kifikra maana angetekeleza haya enzi za uongozi wa...
Laiti ungepewa uongozi pale juu ungekimbia sio kazi rahisi. Usimnyoshee kidole mwenzako ilhali wewe mwenyewe mbovu. Mimi mwenyewe nawakubali wanasiasa wenye uchu wa maendeleo sio kwao tu bali nchi kwa ujumla. Mao wa China aliwahi sema China ni simba aliyelala na akija amka dunia itatikisika...
Mombasa fikira za mrengo wa kushoto sio. Mimi sitetei ccm lakini angalia kati ya uongozi na mwingine. Najua fika wewe ni ukawa naomba nikuulize, je, ukawa hamna katiba kiasi kwamba mbowe mara zote yupo pale juu tu? Mrema aliona imetosha akajiengua, hawa wengine je? Kwa mtazamo wangu naona kuna...
Poleni waliofiwa na warehe.miwe waliotangulia mbele ya haki watoto ni malaika na ndio maana kwenye marukio ya ajabu utasikia mtoto kanusurika. Mungu anadhihirisha uwepo wake
Wakamatwe wote mkuu tunaungana nawe kwenye hilo hadi kieleweke.laiti huu uongozi ungeanza mwaka ya nyumba nchi ingekuwa imepiga hatua. I mean it really these drugs have eroded our bothers n' sisters MUNGU ubariki uongozi huu
Ninachoweza kusema tujitosheleze kwanza kwa umeme maana Wenyewe unazingua kila mara giza,Kulaza nje na ubovu wetu wa kuharakishia tatizo tutashindwa. tujitambue kwanza
Tamaa hadi kwa wachungaji jamani! Haya wanatupeleka wapi haswa wanaojiita waunganisgaji wa waumini na MUNGU lakini? Huyo mchungaji ahukumiwe kulingana na dhambi same ili ujue kapotosha jinsi kuwa na hayaishii hapa duniani hata akhera anasubiriwa tu.hasa wengine wote nani kulingana na Sheri's ya nchi
Hapa naona nahakama imeanzia kufanya kazi yake maana washazoea kwa kuwa wanna pesa nyingi watatoa hela ya shamans. Bora waswekwe nani moja kwa moja tena miaka kibao na fain huu yake
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.