Recent content by hulbmbowe

  1. hulbmbowe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi kwa bongo ni kituo gani cha luninga chenye ubora wa picha na sauti?

    ITV
  2. hulbmbowe

    JamiiForums Tanzania Wewe ni mtu wa hovyo kabisa kama una sifa zifuatazo.. .

    WEWE NDIYE NAMBA MOJA KWA UOVYO SANA. KWANZA MTU ANAYEDHARAU BRAND ZA WENGINE WAKATI HATA KUWEKA BALB CHUMBANI KWAKE ANAOMBA MSAADA HUYO NDIYE ZIRO BRAIN KABISA.
  3. hulbmbowe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Clouds hii ndo wanailinganisha na Wasafi ya Diamond?

    hata msemeje hapa ni MWENDO WA EAST AFRICA RADIO TU MAANA TUNASUKUMILIA NDANI KILA KITU..💪💪💪💪💪😍😍😍😍😍
  4. hulbmbowe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Clouds hii ndo wanailinganisha na Wasafi ya Diamond?

    hata msemeje hapa ni MWENDO WA EAST AFRICA RADIO TU MAANA TUNASUKUMILIA NDANI KILA KITU..💪💪💪💪💪😍😍😍😍😍
  5. hulbmbowe

    JamiiForums Tanzania Citizen FM VS CLOUDS FM

    hapa ni Milele Fm Home of Africa Hits
  6. hulbmbowe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tecno siyo Simu ya Kujisifia na Kuifananisha Na High Quality Phone

    mimi ninayo l8 endeleeni kuwadharau tu. sisi twala yakhe..!!!
  7. hulbmbowe

    JamiiForums Tanzania Miji iliopangiliwa vizuri Tanzania

    kama vp usisahau na Rombo kabisa
  8. hulbmbowe

    JamiiForums Tanzania Miji iliopangiliwa vizuri Tanzania

    Kilimanjaro
  9. hulbmbowe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama kweli mapenzi ni upofu au kikohozi embu msaidieni huyu ndugu yangu.

    kaka unataka kutangulia
  10. hulbmbowe

    JamiiForums Tanzania Upotoshaji wa ITV kwenye taarifa ya habari ni kwa maslahi ya nani?

    tofautisha j3 na leo hiyo taarifa ilitoka j3 na leo ni tofauti... ushaidi wa picha si unaonekana kama ungekuwa Redio hapo sana... ila kwa tv nafikiri kila mmoja aliona....narudia tena Tofautisha siku ya j3 na Leo ama kesho.
  11. hulbmbowe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Namchuna mme wa mtu kwa miaka miwili sasa lakini hajawahi kuhitaji chochote kutoka kwangu!

    hahahaha unataka kuliwa mama kuliwa kwako ni kukutoa kafara tu maana hamna jinsi!!!
  12. hulbmbowe

    JamiiForums Tanzania Itangazwe Rasmi Clouds Fm ni Radio ya Taifa

    ubunifu gani bhana efm na earadio ndiyo mpango mzima kitaani kwetu.
  13. hulbmbowe

    JamiiForums Tanzania Millard Ayo ndiye mpinzani wa kweli wa Clouds FM

    Ea Radio ndiyo radio yangu 24/7
  14. hulbmbowe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Smartphone nzuri

    chukua tecno babu j8 inakufaa
  15. hulbmbowe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nashindwa kuelewa ana maana gani kunipa zawadi ya kondomu

    anaakili sana... ukitumia tu hata moja umekwenda na maji kaka... huwo ni mtego kwako...
Back
Top Bottom