Wanaume wa dar mko kama wamama asee!Unazungumziaje wasafi ambayo inasikika dar peke yake?wewe angalia clouds imeanza muda gani na ina umri gani kwenye industry compared to wasafi.. pia angalia clouds inasikika mikoa mingapi na ina patikana kwenye ving'amuzi vya aina gani na je ni dunia nzima au la compared to wasafi. wasafi fm kaanza juzi juzi tu hapa hata miaka hana na vipindi hakuna ila moto wake hauzimwi.