Recent content by huku kwetu

  1. huku kwetu

    JamiiForums Tanzania Kelele masikioni naombeni tiba hata ya kienyeji

    Naomba tuongee kuhusu hili plzzz, mm ni muhanga na naona umeelezea vizur kabisa. Please
  2. huku kwetu

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutengeneza barafu za kula (ice cream)

    Jamn nisaidie mm nikigndisha kwenye freezer mbona inaganda zile za pembeni tu hizo za katikati haigandi natumia Hisense freezer shida ni nini
  3. huku kwetu

    JamiiForums Tanzania Utapika chakula gani Xmas hii?

    Mchana ntasonga kiugali na mboga yoyote, jioni ntawatoa out wakale kitimoto na ndizi na wine.
  4. huku kwetu

    JamiiForums Tanzania Mboga nilioikuta Tanga sijawahi kuiona popote, ni mbaya

    Tanga kuna mboga nyingi sana za ajabu ajabu, kuna bweta sijui nn zingine nimeshindwa mm
  5. huku kwetu

    JamiiForums Tanzania Ndugu Mtanzania unalijua kundi lako la damu?

    O-
  6. huku kwetu

    JamiiForums Tanzania Nahitaji rafiki wa kuchat

    Acha bangi
  7. huku kwetu

    JamiiForums Tanzania Nahitaji rafiki wa kuchat

    Habar, kwa sasa napitia wakati mgumu kidogo nahitaji mtu wa kuchat nae wa kunifanya nirelax..mm ni mwanamke mwenye 32yrs.
  8. huku kwetu

    JamiiForums Tanzania Mishikaki ya 200 mnatiaga nini jamani 😋wachoma mishikaki nipeni siri

    Nani ile ya jero kule kariakoo
  9. huku kwetu

    JamiiForums Tanzania Wanawake tunaojilipia wenyewe kila kitu tupeni maua yetu

    Mm natafuta mtu wa kuniliwaza jmn
  10. huku kwetu

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    2.38
  11. huku kwetu

    JamiiForums Tanzania NMB wamenivuruga usiku huu

    Mm natumia kila siku na sijaona shida yoyote ile ya zaman au hii mpya!
  12. huku kwetu

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kuongeza mwili (Kunenepa)

    Yani ambavyo sijipendi nilivyonenepa, dont wish kabisa
  13. huku kwetu

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Charles Jangalason?

    My favourite song
  14. huku kwetu

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nasikia kelele sana masikioni

    Nifanyeje kucontrol
  15. huku kwetu

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nasikia kelele sana masikioni

    General Dodoma
Back
Top Bottom