NMB wamenivuruga usiku huu

NMB wamenivuruga usiku huu

Mm natumia kila siku na sijaona shida yoyote ile ya zaman au hii mpya!
Hata mimi natumia huu unaenda mwaka wa pili, juzi kati ndio walii upgrade hii version mpya iko poa tu, sema sasa hivi kujiunga lazima uweke salio tofauti na mwanzo yaani unapoanza kujiunga kuna vitu vimeongezeka tofauti na app ya mwanzo ila hii Bank binafsi huwa siiekewi kwenye makato naona kama ina makato makubwa sana hasa ukihamisha hela kupitia simbanking au hii app, unaweza mtumia Mtu laki wakalamba 8000-13,000 au ukimtumia Mtu 10,000 unashangaa 3000 imeenda, mwezi huu naachana nao
 
Back
Top Bottom