Ni mtazamo tu
Mechi ya leo haikuwa mbaya, approach ya kocha kwenye mechi ilikuwa ina tija na namuelewa kwa ile lineup aliyoanza nayo kwa sababu margin ilikuwa ndogo sana tofauti ya goli moja ukicheza kidogo tu inabadilika na mlima unakuwa mkubwa zaidi kuupanda ndo maana naona kocha alilenga...
Mazee kutanguliwa kusitublind, mi sikumbuki mara ya mwisho chelsea kutanguliwa hivi back to back na kuwa na spirit ya comeback hadi ushindi, kuna vitu ni zaidi ya mbinu hii fighting spirit, maamuzi sahihi ya sub kwa wakati sahihi credit sana kwa kocha binafsi sichukulii poa
Mzee wa takataka, tatizo matokeo yakiwa kama leo hivi ni kama haupendezwi maana hauji kabisa kuchangia ila matokeo yakiwa kama yalivyokuwa halftime vile ni kama ndo furaha yako nashindwa kuelewa kama ni shabiki kweli wa chama letu pendwa ze blues au huwa unacomment nyakati ambazo una hasira tu...
Na hiyo ndo fresh wenyewe huwa wanaita nice problems, kocha anaulizwa maswali magumu na performance za wachezaji jambo ambalo ni faida kwa timu, ni sawa na anayeumiza kichwa atavaa nini kutoka kwenye nguo chache alizonazo na yule anayeumiza kichwa atavaa nini kutoka kwenye nguo nyingi tena za...
Umesahau Palmer anakulaga ubavu wa juu kule kimakaratasi ila anaoperate kama winger ten halafu MG anaoverlap kwenye ile flank rejea mechi ya fainali na paris, najua utauliza kuhusu Neto pengine na toto tundu ila hapo Neto anaweza kuwa kama false 9 au LW toto tundu anaweza ingia badae
Majirani kutoka london kuna article yenu ya maana sana iliyojaa matumaini msimu huu
Channel hiyo hapo wakuu tuongezeke kwa wingi mambo ni balaa
Follow the Pinkie Football Universe channel on WhatsApp: Pinkie Football Universe | WhatsApp Channel
Watu wa football ⚽ nazidi kuwakarisha kwenye modern analysis licha ya kuwa hamjacomment ila naona namba zinavyoongezeka karibuni sana ni sanaa ya mpira inayokuja na maarifa beyond mpira🌏
Familia ya mpira⚽️ karibuni kwenye channel yetu ya whatsapp kwa maudhui ya kipekee kwa lugha ya kiswahili
Taarifa za mechi lini anacheza nani matokeo yamekuaje unaweza kupata popote ila taarifa zenye ladha na shule nyingi ndani yake ndugu zangu wa football ni hapa🙇
Kipindi hiki cha...
We jamaa ni wazi opinions zako zimejaa hisia kuliko uhalisia, hayo majina unayoyaweka kwenye equation hapo ni as if wote wanacheza timu moja kwamba wenzetu wana salah yamal haaland ni kama wanatokea timu moja wakati kwenye hiyo equation jina la palmer linaingia bila ubishi ila hujaliona hilo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.