Hata Quran inapingana sana. Ukitaka chuki zipo kwenye Quran na Biblia. Ukitaka upendo upo kwenye Quran na Biblia. Ukitaka sayansi ya zamani iliyokosewa ipo. Wagiriki walitabiri urefu wa mzunguko wa dunia (circumference) kabla ya Quran na Biblia. Biblia na Quran zilishindwaje kusema dunia ni...
OP ulichofanya kinaitwa ad hominem fallacy. Umeshambulia character ya mtu, huku umeacha kujibu hoja. Hoja ni Magufuli anakosolewa? Jibu hilo kwanza then character utaiattack baadaye
Hiyo ni sex tourism. Hao wanawake huja kutalii na husafiri na nyege zao wakijua wakimpata mtu wanampatia. Maisha ya wenzetu hasa ukiwa na kacheo huwa busy sana sometimes wanakosa muda wa kuexplore new relationship. Pia weather inakuwa sio friendly ukikosa boyfriend summer time basi kumpata...
Mkuu ww mkeo ulimkuta bikira? Mapenzi tu ndo yanakufanya uamini yuko tofauti na wengine. Wako waliomla wakamwacha, na kwenda kuoa uliowaacha ww. History huanzia mlipokutana, msishikilie past
Asilimia 99 ya manabii wa kiislam ni wayahudi, lakini wayahudi walikataa mafundisho ya Mtume Mohammad, walimuona muongo. Banu Qurayza jeshi la Muhammad liliua wayahudi watu wazima zaidi ya 800. Kutoelewana na wayahudi kumepelekea aya za chuki kwenye Quran na Hadith sahih dhidi ya wayahudi. Hiyo...
Kwani wanashindwa kutuma mtu wa kumhoji Nairobi. Hela za polisi ni kodi yetu, wao kwa nn wanazionea uchungu kuzitumia mpk Nairobi?! Sirro si analipwa posho kwa kodi zetu akiwa Mtwara. Kipi matumizi muhimu; kwenda Mtwara au kutuma mtu Nairobi kusolve kesi nzito ya mauaji inayotishia mshikamano wa...
Sasa meya mzima una two first names za kizungu, Boniface Jacob!!! Why hata hutumii jina la ukoo la kibantu? Wazungu wenyewe wana majina ya ukoo; Bush, Clinton, Mayweather, Trump...
Ukiwa diaspora, unaweza dhania watu watakufa muda wowote kwa hali ngumu ya maisha. Kila siku hali ngumu, hali ngumu. Tena toka wakati wa JK. Ukifika bongo, ndo kwanza wameongeza magari ya pili, wanaanza story ndefu gari alilipataje kwa bahati
Nadhani binadamu kiakili wanaendana race zote. Tunatofautiana mazingira, malezi na tamaduni. East Asians ni wazuri wa kukariri, wako poor kwenye executions na maadili pia hawana sana kama wazungu. Mzungu anaweza asiwe super kama kukariri kama muasia, ila ni the best in execution and huwa wako...
Jaribu kuangalia nn anapenda Na nn hapendi. Itakuwa personality zenu ziko tofauti na unamboa. Au ww ni mbishi sana au unajiona uko perfect huwezi kukosea. Na usishangae huyo unamwita mkali akikutana na mwingine anaweza kuwa mpole tu sababu huyo mwingine anampatia alivyo
English native speakers (Americans, Britons, Australians, na wengine) kwa kifupi hawaelewagi kirahisi English zetu za kiafrica sababu ya matamshi. Tungekuwa better off kustick na lugha zetu. Acacia wamkituma mzungu China anajifunza kichina. They can do the same thing na Kiswahili
Wangeongea kwa kiingereza wasingeelezea vizuri maneno na points zao. Mchina anaongea kichina, mjerumani anaongea kijerumani na mjapani anaongea kijapani. Why tuongee kiingereza wakati vocabulary yetu ndogo sana. Kiswahili ndo utanzania
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.