Recent content by https

  1. H

    JamiiForums Tanzania GE2020 EXCLUSIVE: Maswali kwa Mgombea Urais wa JMT, Tundu Lissu kutoka kwa Watanzania watumiao mitandao ya kijamii

    Mhe. Lissu, Kwanza pole sana kwa kazi ngumu ya kampeni unayoendelea kuifanya. Nimesikiliza na kutizama kampeni zako zote nchi nzima kupitia Youtube, bila kukosa hata siku moja na nimefurahishwa sana na uwezo wako mkubwa wa kujenga hoja, kueleza sera na ilani ya chama chako kwa ufasaha sana...
  2. H

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wakazi wa Dar es Salaam kweli na nyie mtamnyima Magufuli kura?

    SGR ilianza wakati wa JK, kila kitu.
  3. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Warembo wananikataa, sijajua nakosea wapi I'm really stressed up

    Amen
  4. H

    JamiiForums Tanzania RC Makonda umeliingiza Taifa kwenye matatizo makubwa sana

    Nimeangalia hiyo signature yako, nishakuelewa Ni wale wale vichwa panzi, mnaongeza vinyesi tu na kupunguza oksijeni ndani ya jamhuri
  5. H

    JamiiForums Tanzania RC Makonda umeliingiza Taifa kwenye matatizo makubwa sana

    Utakua mkurya wa Dar, what a disgrace to once thought a formidable tribe
  6. H

    JamiiForums Tanzania RC Makonda umeliingiza Taifa kwenye matatizo makubwa sana

    Mashoga wamekuzuia nini wewe, si wanafanya faragha mambo yao na tushawakataza kujionesha hadharani...una tatizo gani nao?? Kama unaona wivu wanafaidi, jiunge nao basi - hakuna atakaekukataza kufunguliwa mtaro
  7. H

    JamiiForums Tanzania RC Makonda umeliingiza Taifa kwenye matatizo makubwa sana

    Samahani mkuu, uliishia darasa la ngapi
  8. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya kuweka umeme kwa kutumia LUKU ya jirani

    Toeni majibu, acheni referrals ....au hizo info ni siri kubwa za nchi?! Wekeni taarifa hizo mtandaoni, mna website badala ya kuitumia wateja tujihudumie mnaweka vitu visivyoeleweka. Unadhani sijui ofisi za Tanesco zilipo? Au hilo li namba lenu la customer care mnahisi sijui namna ya kuipata...
  9. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya kuweka umeme kwa kutumia LUKU ya jirani

    Hbr wadau, Kwa anaefahamu namna ya kutumia luku ya jirani kuweka umeme naomba anijuze. Hizi luku mpya portable za TANESCO zinaruhusu hiyo kitu, kwa anaefahamu anisaidie Ahsante
  10. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Warembo wananikataa, sijajua nakosea wapi I'm really stressed up

    nakuja pm unifundishe kua hvi
  11. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Warembo wananikataa, sijajua nakosea wapi I'm really stressed up

    Kuna umri ukifika, hiyo michezo unaacha kabisa...haina future ni kupoteza muda tu
  12. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Warembo wananikataa, sijajua nakosea wapi I'm really stressed up

    Ninayo
  13. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Warembo wananikataa, sijajua nakosea wapi I'm really stressed up

    Hii kitu pia nimewahi kusikia, sijui kama ni kweli. Ati ukiwa good boy unakua sio adventurous Rafiki yangu mmoja mdada amewahi nishambulia kua I'm too kind, too reasonable. Sasa vitu vingine ni mtu unazaliwa hivyo, nikamuuliza nianze kua bandidu, aggressive to everything akakataa kua my kids...
  14. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Warembo wananikataa, sijajua nakosea wapi I'm really stressed up

    Ahsante mkuu, be blessed
  15. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Warembo wananikataa, sijajua nakosea wapi I'm really stressed up

    Ahsante. Halafu mkuu, ushawahi kuombea kitu hadi ukahisi unakosea kuomba / au umesusiwa? Ndio hali inayonikumba kwa sasa
Back
Top Bottom