Recent content by hsigira

  1. H

    JamiiForums Tanzania Naishukuru JamiiForums

    Binafsi naishukuru sana JamiiForums kwani inanifanya nipate habari nyingi na kujiona nimo katikati mwa marafiki. Asanteni sana
  2. H

    JamiiForums Tanzania Kwa nini tutumie $ badala ya tsh. Ktk tanzania

    Swala la $ ni hatari kuliachia hivi hivi. Hapa nilipo wenzetu wenye asili ya asia wameligeuza kawaida. Hata kuchangia huduma za usafi na ulinzi tunalazimishwa ziwe ktk dolari! Je, wanasheria wanatuambia nini juu ya matumizi ya dolari? Tusaidiane tusikae kimya.
  3. H

    JamiiForums Tanzania Kwa nini tutumie $ badala ya tsh. Ktk tanzania

    Ndugu zangu naomba mnisaidie hili, inakuwaje wafanyabiashara wanatutoza $ hapa kwetu kwa huduma za usafi, maji ya kisima(ya "chumvi") na ulinzi (walinzi wa kisasa a.k.a security) na serikali haikemei? au ni halali kuitumia $ kwa huduma hizi?
  4. H

    JamiiForums Tanzania Siielewi TANESCO Kwa Hili!

    Ebu tumsubiri Assange wa Wiki Leaks?
  5. H

    JamiiForums Tanzania Tumaini University, mradi wa kanisa unaowaibia Watanzania- Hawafundishi

    Asanteni kwa kuchangia hoja hii ya tarehe 23 Nov. Kichwa cha Habari nilikiweka makusudi ili kuvutia msomaji. Lakini lengo hasa lilikuwa kujua kuna hoja zipi iwapo tunakua na walimu wasiowajibika ktk harakati za kuiweka elimu ya Tanzania ktk kiwango cha tija. Majibu yenu yamenionyesha kuwa kazi...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Umewahi fedheheka?

    Najua kilichokufedhehesha ni utoto, na maneno ya mchungaji. Pole sana. Kwa kuwa sasa umekua kama mzee yupo kaza kamba mwelezee hali ilivyokuwa.
  7. H

    JamiiForums Tanzania ofisi za chama cha wapagaji zipo wapi?

    Jamani kama kuna yeyote anayejua zilipo ofisi za chama cha wapangaji upanga Dar naomba anielekeze. Au anipe simu yao
  8. H

    JamiiForums Tanzania Tumaini University, mradi wa kanisa unaowaibia Watanzania- Hawafundishi

    Nimesikitishwa sana kusikia kuwa Ndani ya Tumaini University kurasini campas wahadhiri hawaingii madarasani. huu ukiwa ni mradi wa kanisa, je kanisa lina la kutuambia? Je, pesa yetu waliyopokea tena 2,500,000 kwa mwaka ni kwa ajili ya nini? Je, wizara haioni utaratibu wowote wa kuifunga kampasi...
Back
Top Bottom