Tumaini University, mradi wa kanisa unaowaibia Watanzania- Hawafundishi

Asanteni kwa kuchangia hoja hii ya tarehe 23 Nov. Kichwa cha Habari nilikiweka makusudi ili kuvutia msomaji. Lakini lengo hasa lilikuwa kujua kuna hoja zipi iwapo tunakua na walimu wasiowajibika ktk harakati za kuiweka elimu ya Tanzania ktk kiwango cha tija. Majibu yenu yamenionyesha kuwa kazi ipo. Hakuna hata mwanafunzi mmoja aliyejieleza anavyofedheheka pale anapofunga safari kwenda shule na kukosa mwalimu siku nzima kisha kurejea nyumbani. Ila ni furaha tupu!

je, elimu yetu ni ya bora siku zende tupate digirii tukatafute ajira (isiyokuwepo) au kujipanua hata tufikie maendeleo ya ubunifu kama wenzetu ambao sasa sisi tumegeuka wateja wao wakubwa wa vitu mbali mbali?
 
sina mashaka kuwa wewe umetumwa na ccm au cuf kwa malengo ya kidini zaidi...............udini utawamaliza sana....mbona upande mwingine hatuoni madarasa tunaona madrasa tu?...................
 
Ni kweli hiyo university ni usanii mtupu. Kuna jamaa wamemaliza huko na kupata BSc za IT lakini loh! Hawajui chochote ni wasanii tu! Wengine wameajiriwa katika maofisi makubwa ati wanaitwa "Wachambuzi wa mifumo ya kompyuta", cheo chenyewe cha kisanii! Mara nyingi sisi wengine tunaojiairi tumeitwa mara nyingi kurekebisha masuala walioboronga hao wasanii. Mmoja nilidirii kumuuliza inakuwaje? Akadai eti "braza sisi hatukupata nafasi ya computer kabisa"!
 
Longo longo ...mbona mimi nimesoma hapo na mimi ndiyo expert ktk it?...........chuki binafsi....hapa nina wasiwasi na watu wa madrasa"

ni kweli hiyo university ni usanii mtupu. Kuna jamaa wamemaliza huko na kupata bsc za it lakini loh! Hawajui chochote ni wasanii tu! Wengine wameajiriwa katika maofisi makubwa ati wanaitwa "wachambuzi wa mifumo ya kompyuta", cheo chenyewe cha kisanii! Mara nyingi sisi wengine tunaojiairi tumeitwa mara nyingi kurekebisha masuala walioboronga hao wasanii. Mmoja nilidirii kumuuliza inakuwaje? Akadai eti "braza sisi hatukupata nafasi ya computer kabisa"!
 
Wizi unakuje tena hapo? si hawaingii tu lakini other duties zinaendelea?
 
yaani ubora wa elimu unapimwa kwa mtu mmoja kuboronga kazini, kama ni kweli anyway?
Mbona wanaomaliza udsm, mzumbe (tena hapa malekchara wake mmmmh), muslim university, etc baadhi yao ni weupe kushinda maelezo?
 
Hadhi ya chuo inatokana na quality ya graduate wanaomaliza pale. Siku hizi kuna vyuo vingi sana, nitashangaa sana kama kuna hayo matatizo na bado watu waendelee kuji enroll pale Tumaini. Vyuo vya Tumaini vyote vinajulikana kwa ubora wake na wanafunzi wanao ingia pale wanchujwa haswa bila upendeleo na hata huku makazini tunao, they deliver. Serikali yetu haijachagua ni chuo gani wanafunzi wafadhiriwe. Hivyo ni uhuru wa kila mmoja wetu kuchagua chuo anachopenda badaa ya kuishia kulalamika kwa sababu unaenda pale kwa merits.
 
Back
Top Bottom