Kwa mtazamo wangu ili kuilinda na kuidumisha ngorongoro ufanyike udhibiti wa kuzuwia ongezeko la jamii ya masai na mifugo yao kwa kuwahamishia maeneo mengine ya nchi pili iangaliwe kwa marejeo idadi ya masai na mifugo waliokuwepo wakati ngorongoro inaanzishwa ili ziada ihamishwe na kuzuwia...
Au ndio kusema kundi linaloshika mpini hawataki kusikia wala kuiona Tanzania ya viwanda japo vidogo vidogo kama kusaga nafaka kuunga vyuma uchapaji utengenezaji wa barafu au kwa kuwa wanajua kama ikianzishwa miradi ya kuuza solar na majenereta lazima wauze?
Upo sahii ila jambo hilo limepitwa na wakati mvua imenyesha kila palipovuja pamejulikana muda si mrefu maduka yatauza mabati na musumari mafundi wataingia kazini kupaua kila nyumba iliyovuja ni suala la muda tusibiri tuone
Tambua hata wewe kwa huyo mume ni mchepuko ulichowazidi wengine ni kutangulia kugundua anachepuka usishangae akibanwa upande wa pili na wewe ukaambiwa samahani nilikuwa nimeoa kabla sijaoana na wewe
Kwa mtazamo huo ni wazi kuna tatizo la siri baina ya kocha mkuu,msaididizi na wachezaji pia ilikuwep habari kuwa wachezaji wanamuhitji yule kocha wa viongo aliyefukuzwa
Vita ya waaminifu wa uongo na waaminifu wa ukweli,giza na nuru,uongo haujawahi kuushinda ukweli wala giza kuishinda nuru bado kitambo kidogo mwenye haki atashangilia
Kama mtu anapobambikiwa kesi na kucheleweshwa kupelekwa mahakamani ama mtu kupigwa na kufia kituo cha polisi ama inapotukia mtu kurushiana risasi na polisi ni nani wakuchunguza na kusema jeshi lipo sahii au limekosea jinsi gani raia anaweza kujiponya kwenye uonevu kama huo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.