Teamanaconda
JF-Expert Member
- Jun 21, 2013
- 602
- 567
Tafuta hii threadMkuu nakuunga mkono,japo hata kalemani kipindi anapewa Wizara tulimchana sana hapa JF,kutokana na mgao wa umeme,View attachment 2114454
Tafuta hii threadMkuu nakuunga mkono,japo hata kalemani kipindi anapewa Wizara tulimchana sana hapa JF,kutokana na mgao wa umeme,View attachment 2114454
Sasahivi mbona kuna mvua na umeme unakatika acha kuongea unafiki na ushabiki wa kimaslahiKelemani ndo alikua anakojoa mvua ati ee
Au ndio kusema kundi linaloshika mpini hawataki kusikia wala kuiona Tanzania ya viwanda japo vidogo vidogo kama kusaga nafaka kuunga vyuma uchapaji utengenezaji wa barafu au kwa kuwa wanajua kama ikianzishwa miradi ya kuuza solar na majenereta lazima wauze?Hawatakusikia wala kujali.
Kundi lililoshika mpini wana malengo yao. Yawe mabaya au mazuri
Funguka tuu brazaKuna kitu nataka kuandika lkn naona nitaishika sirikali mashavu!
Kujiongeza mzee mbona tuna muda mrefu hatukutaninna hii kashia ila baada ya kuingia huyu jamaa kadhia ineanzaShida ipo kwa binadamu au mitambo?
Never..😂Funguka tuu braza
Amefanya lipi la maana. Anatumia watu kama wewe kumtetea.Duh,nina mashaka sana na uelevu wako kwani maneno unayoandika sijui kama yanatoka kwenye kichwa chako,tumemwamini na tumemkabidhi awe jemedari wetu wa kuongoza jahazi hili.Halafu kumbuka pia u-rais ni taasisi si vinginevyo
Tunatawila na Wassengee kutoka Zanzibar, pwani.Anaturudisha misri hakyanani
Serikali ni pana sana na kazi ya serikali ni kuhudumia wanachi wake, kuna vitu ambavyo huwa matokeo yake yanaonekana moja kwa moja na mengine sio.,kwa maana hiyo usipende sana kuitupia lawama SERIKALI ambayo kiongozi wake ni mh rais SSH.Hebu jiulize ww moyoni mwako unaitendea nini TANZANIA YETU.Amefanya lipi la maana. Anatumia watu kama wewe kumtetea.
Naomba unipe hata kitu kimoja alichofanya kuwasaidia Watanganyika.
Kwa rais kama tuliyenaye, Kaleman atateseka. Acha tu wapeani kifamiliaNaandika huu uzi nikiwa na masikitiko makubwa kwa hali hii inavyoendelea sasa ya kukatika kwa umeme.
Binafsi shughuli zangu zinahitaji uwepo wa umeme kwa 100%.
Wakati wa Kalenani hata ikitokea umene unakatika basi hayazidi masaa matatu na hilo hutokea kwa mwezi mara moja.
Lakini toka aje huyu Waziri mpya binafsi sijaona tija yoyote iliyoletwa nae kwenye wizara hii. Mh. Rais tunaomba utusaidie kufanya mabadiliko uturejeshee Kalemani. Tukishasahau haya mambo ya kukata kwa umeme.
Shughuli zetu zimesimama hatuna tunalolifanya. Mh. tunaomba usikie kilio chetu hii wizara inamfaa yule aliyeondoka.
Huyu aliyepo ungempa wizara ya mazingira sio hii haiwezi.
Anafaa akae chatuNaandika huu uzi nikiwa na masikitiko makubwa kwa hali hii inavyoendelea sasa ya kukatika kwa umeme.