Recent content by HOZA

  1. H

    JamiiForums Tanzania Waliochaguliwa usaili Jeshi la Polisi, graduate 2014

    Haya bwana granta tusaidie wanahitajika kama idadi gani?
  2. H

    JamiiForums Tanzania Nina mashaka na majina ya usaili Jeshi la Polisi 2014

    ni kweli ndugu yangu unaweza kungangania kitu kumbe si riziki yako lakini mimi nimeshangazwa na kitu kimoja mimi ni mtu wa sheria nilikuwa na vigezo vyote kuanzia umri, fmwaka wa masomo na nilibahatika kuambatanisha vitu vyote hadi transcript yangu cha kushangaza jina langu halijatoka kwa...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Masters degrees za Mzumbe University zinaua ubora wa elimu

    jidanganye hivyohivyo naoan unaicheza ngoma usiyoifahamu
  4. H

    JamiiForums Tanzania Masters degrees za Mzumbe University zinaua ubora wa elimu

    sema wewe muhogo nikisema mimi kiazi itakuwa tabu
  5. H

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda aita press conference kujisafisha

    kelele we bi kiroboto kama kutumika unatumika wewe nyoooo muwa we ukishaliwa unatemwa
  6. H

    JamiiForums Tanzania Barua kwako Mzee Joseph Sinde Warioba

    kama matatizo yako ya fistura uliyonayo
  7. H

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya usaili Polisi yafutwa

    Mbona hilo nipashe la leo 3/11/2014 halina habari kama hiyo. Anyway wanaovuruga usaili na baadae kusababisha matokeo ya usaili kutenguliwa hembu wawachukulie hatua bac sio kuwachekea kwa sababu wanarudisha mambo nyuma na kutia hasara
  8. H

    JamiiForums Tanzania CCM waleta vurugu kwenye Kongamano la taasisi ya Mwl/Nyerere, Makonda ahusishwa kumpiga Warioba

    hilo ndo niliotaka kulisikia maana hapa nasoma post huku natetemeka kwa hasira natamani ningelikuwepo hapo nadhani mngebidi mniachie mimi tu nishughulike nae
  9. H

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Ubungo Plaza kwenye Kongamano la iliyokua Tume ya Kukusanya Maoni ya Jaji Warioba

    Kweli kaka ulisema na kuna baadhi ya watu walikuponda. Wao si wanasema katiba yao ya bmk ni bora watulie bac na wao waweke midahalo wateteee katiba yao. Ila paul makonda kanisikitisha sana mpaka nimehisi kulia
  10. H

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Ubungo Plaza kwenye Kongamano la iliyokua Tume ya Kukusanya Maoni ya Jaji Warioba

    Sijui wenzetu huko kwenu hali ikoje sisi huku maeneo ya Tabata tumekatiwa umeme na tunashindwa kufuatilia mdahalo wa katiba wa moja kwa moja kutoka Blue Pearls:angry:
  11. H

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi wameanza kuita kwenye usaili?

    Nimeamini ukisema cha nini wengine wanasema ntakipata lini. Wakati wengine wakipost na kuiponda kazi ya polisi wengine wanauliza na kufuatilia kila siku kujua lini watajiunga na jeshi la polisi. But all in all wote tulifanya maombi na kukidhi vigezo vyote tuwe na subira naamini ni muda mfupi tu...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi wameanza kuita kwenye usaili?

    Hivi vipi kuhusu ile thread iliyosema kuwa inasemekana asilimia 90% ya applicants hawakukizi vigezo ikiwemo 1. Fani zao sio fani zilizotajwa 2. Umri wao kuwa above 25 kama ilivyokuwa inatakiwa 3. Hawajamaliza katika mwaka wa masomo 2013/2014. Na kulingana na maelezo ya mtoa thread wahusika...
Back
Top Bottom