...and this is where shit always begins!
Yeye anapenda mitandao...wewe huku umekuja na ishu ya chumbani kwako ili nini kwa mfano!
Viumbe wa zama hizi wote Ke na Me akili zenu pumba tupu wote. Your personal life has nothing to do with public! Mtu mzima wa umri wako kama umeshindwa kufanya...
Wanazengo katika Jamii za Kiafrika na hususan hapa nyumbani mara nyingi matukio ya misiba huunganisha watu bila kujali tofauti zozote zile.
Nimesikia na kuliona ni jambo la kufikirisha kuuliza alipo Mzee Wetu Mheshimiwa Waziri Mkuu Mstaafu Edward Ngoyai Lowassa kwa kua ni dhahiri udhurio la...
Wakuu salaam kwenu!
Nahitaji nyumba ya kupanga kwa kipindi cha mwaka mmoja jijini Dar iwe maeneo ya Sinza, Savei, Mwenge na au Ubungo!
Iwe na vyumba vitatu au viwili. Ikiwa inajitegemea ni vizuri zaidi! Mkataba wa upangaji uanze tarehe 1/1/2019 lakini tunaweza kukubaliana malipo yakafanyika...
Uhongaji uantegemea na mfuko Mama. Mkuu hapo kiasi alichotoa ndo uwezo wake tena umeona kilivyoumiza moyo....you can imagine ingekua ndo li invoice la nywele zake kitu Peruvian....!
Ndukiiiiiiiii[emoji1566]♂️[emoji1566]♂️[emoji1566]♂️[emoji1321]♂️[emoji1321]♂️[emoji1321]♂️
As a country tuna safari ndefu. Only God can help us! But I believe even if we are seems to be fools and equally treated as such....we will not be fools always!
Time will tell!!
Ni kweli Jamaa anasema awali alikua anajiweza freshi tu sema ni ile kutaka kuongeza anachokiita ufanisi. Na anasema that thing ametumia si muda mrefu but anaona tofauti...Japo anadai the Vumbi ilimpa heshima viwanjani!
Wakuu nawasalimu,
Kuna hiki kitu kinaitwa "Vumbi la Kongo" limeshamiri sana mjini daslam na mikoani as well. Sasa kina Jamaa yangu sijui ni kutaka kukomoa katumia hii kitu lakini sasa hivi analalamika hayupo sawa kiaina na anadhani ni hii kitu. Kwamba nguvu alizokua anaambiwa na supplier wake...
Wana wa adamu bana...
Na ni nani miongoni mwetu alie msafi kumzidi huyo Dada?
Sitetei dhambi but sisi nani wa kuhukumu?
Hukumu ni ya Mungu pekee..
Bi. Dada rejea kwa Mungu wako na dhambi zako zijapokuwa nyekundu kama damu...yeye ni mwingi wa rehema nae atazifanya kuwa nyeupe kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.