Kwanini umsomeshe mtoto shule ya wavulana pekee?

Hizi ni hulka tu, kama ishu ingekuwa ni boarding school, basi shule nzima ingekuwa mashoga tu.

Binafsi nmesoma boys, nimeona mengi, nimejifunza how to be a man huko, kujilinda na mengine kama hayo,

Kushiriki hivo vitendo ni weakness ya mtu period, ujinga wake tu.

Kuna shule za day, mchanganyiko, vitoto vinasagana vibaya mno

Hili lina mchango lakini si kama watu wanavyojaribu kutuaminisha kuwa ni chanzo kikubwa sana.
Madhara siyo lazima yawapate wote mkuu
 
TULIO SOMA SINGLE BOYSZONES TENA ZA KISEMINARY KUANZIA FORM ONE - FOUR NA TENA GVT FORM 5-6 NINAUNGA HOJA . DAH UNARUDI LIKIZO HUNA HATA KA GIRL KA KUPIGA NAKO STORY BAADA A YA HAPO NI MUSTERBATION TUU ASEEEEE DAH
 
Na ndio maana kuna kesi kule ulaya ya mapadre kulawiti watoto zaidi ya elfu 2,we unafikiri wanawake walikuwa hawawaoni mpaka kulawiti ni kwa sababu walishazoea mchezo tangu wakiwa skonga
 
Sasa kwa nini wasikafiane mkuu
Tena wanakwambia wanakumbatiana ili wasiskie barid,siku na mm nikavaa sketi nikazama dom la girls nilipiga mzigo mpaka alfajiri nikaruka ukuta nikarud zangu dom kwetu
 
Kukubali Kuwa shoga sio Mazingira Bali ni Upuuzi na ujinga wa MTU mwenyewe... Boarding kuna michezo ya boys kuwashika na kuwatania boys wengine ambao kimuonekano ni Mahandsome so ukikubali huo ujinga bhasi ndo inakuwa mazoea na unaishia pabaya lakini Ukiwa mkali hawezi kufanya huo ujinga tena...!! Wengi wanaokuwa mashoga wanakuwa sababu wanaume wengine wanawasifia ooho wewe mzuri...mwanangu unavutia hapo madogo wanalainika ndo safari ya ushoga imeanza!
 
Mkuu ulikuwa mafia kinyamaa
 
Mazingira nayo yanachangia kwa kiasi mkuu
 
90/10 mtizamo wangu , nyumbani ni kubaya zaidi na ndiko kuliko haribu mpaka boarding .
Watoto wanapokelewa wakiwa safi kabisa na kujifunza maadili mema ikiwemo ushirikiano ,ujasiri na kujitegemea, umri wao Mdogo hauwafanyi kuwa za maovu.

Wanaporudi nyumbani wakati Wa likizo, wanawakuta, wajomba, Dada/kaka Wa kazi, Jirani,mgeni asiyeeleweka , gengeni, TV isiyo na mipaka, redio, magazeti na majarida yasiyo sawa kwa umri wake.

Kila kimojawapo kinachangia kuvuruga akili ya mtoto kwa style yake, kiasi mtoto akirudi shule anakuwa ameharibika na kusambaza sumu.
 
Nyumbani ni kubaya lakini kuna stamilika kwa sababu ya mchanganyiko wa jamii kwa ujumla lets say ,

Uko shule hizi za kata na unamuona rafikiyo juma ana kasichana kazuri lazima nawe utatamani licha ya udogo wako ndio hapo linakuja neno hulka,

Yaani hulka yako tangu udogoni unajijengea kwamba wewe ni mwanaume na mwanaume lazima hawe na mwanamke hapo kuwa shoga ni 1/100 kwa sababu tu mazingira yalikulazimu utambue kipi unatakiwa kukifanya.
 
Ngoja nitie neno kidogo hapa japo siyo moja kati ya mada ninazopendelea sana kuzipost hapa jukwaani kutokana na mahudhurio hafifu ya wachangiaji kwa kutokuwa interest sana na mambo muhimu kama haya,

Ni jambo dogo lakini linaweza kuwa na mantiki kubwa sana, unakuta mzazi ana mtoto wa kiume ni mdogo kiukweli lakini tangu nursery mtoto anasomeshwa shule za hosteli tena ni zile za boys boys pekee

Yaani mtoto kuonana na mademu mpaka apate likizo tena demu mwenyewe ni beki tatu pekee unategemea nini?

Mtoto anaanza kujifunza ufuska huko shuleni na wenzake wanapoenda kuoga kushikana shikana mwisho wa siku anapigwa kitu,

Ushoga unaanzia huko wanakosomea ila mtahani wanakuja kuliendeleza tu libeneke lao

Tusiige uzungu ,wazungu ndio walioleta haya,mzazi ata kama una pesa kiasi gani epuka kumjengea mwanao mazingira yatakoyomfanya ajione tofauti na watu wa jamii nyingine,

Mfundishe maisha ambayo yatakuwa fundisho kwake leo na ata kesho ukiwa haupo,

Jaribu sana kumfanya ajione sawa na wengine yaani mchanganye kwenye jamii achana na kulea lea watoto ndani kama kuku wa broiler,

Matokea ya kumlea mtoto kimayai mayai huwezi kuyaona leo ,

Cc Zero IQ
Dar wengi waliolawitiwa wakiwa wadogo ni matokeo ya kuacha watoto wanazagaa, bora umfungie tu mwanao ukimuacha ndo ana pigwa mambo mtaani kuwa mlinzi wa mwanao wewe
 
Mazingira nayo yanachangia kwa kiasi mkuu
Hapana mazingira kwa kiasi kidogo Sana lakini maamuzi ya MTU binafsi 99% ndo sababu...!! Kwani James delicious alisoma shule ya boys??? Ukifatilia asilimia 90 ya mashoga hawajasoma hizo shulee...
 
Ngoja nitie neno kidogo hapa japo siyo moja kati ya mada ninazopendelea sana kuzipost hapa jukwaani kutokana na mahudhurio hafifu ya wachangiaji kwa kutokuwa interest sana na mambo muhimu kama haya,

Ni jambo dogo lakini linaweza kuwa na mantiki kubwa sana, unakuta mzazi ana mtoto wa kiume ni mdogo kiukweli lakini tangu nursery mtoto anasomeshwa shule za hosteli tena ni zile za boys boys pekee

Yaani mtoto kuonana na mademu mpaka apate likizo tena demu mwenyewe ni beki tatu pekee unategemea nini?

Mtoto anaanza kujifunza ufuska huko shuleni na wenzake wanapoenda kuoga kushikana shikana mwisho wa siku anapigwa kitu,

Ushoga unaanzia huko wanakosomea ila mtahani wanakuja kuliendeleza tu libeneke lao

Tusiige uzungu ,wazungu ndio walioleta haya,mzazi ata kama una pesa kiasi gani epuka kumjengea mwanao mazingira yatakoyomfanya ajione tofauti na watu wa jamii nyingine,

Mfundishe maisha ambayo yatakuwa fundisho kwake leo na ata kesho ukiwa haupo,

Jaribu sana kumfanya ajione sawa na wengine yaani mchanganye kwenye jamii achana na kulea lea watoto ndani kama kuku wa broiler,

Matokea ya kumlea mtoto kimayai mayai huwezi kuyaona leo ,

Cc Zero IQ
Kuna mwana falsafa mmoja wa elimu alisema hivi na hapa namanukuu, tafsiri yake japo si rasimi " watoto wanazaliwa watakatifu kutoka matumboni mwa mama zao, uovu tunaouona unafanyika ama unafanywa na watoto ni uchafuzi unaotokana na jamii," akimaanisha watoto wanachafuliwa na jamii na ili kuepusha haya bora mtoto apate elimu akiwa ametengwa na jamii kwa mantiki ya shule za bweni, mwisho wa kunukuu.
Hili ni sahihi kabisa ukifuatilia takwimu za mijini shule hizi za kurudi nyumbani watoto wanaingizwa chocjoro na kufanyiwa huo ukatili, mapungufu mengine yaliyopo mashuleni ni suala la kimaadili tu.
 
Hapa unazungumzia mtoto anaejitambua vipi mtoto wa muaka mi5 _7
Hizi ni hulka tu, kama ishu ingekuwa ni boarding school, basi shule nzima ingekuwa mashoga tu.

Binafsi nmesoma boys, nimeona mengi, nimejifunza how to be a man huko, kujilinda na mengine kama hayo,

Kushiriki hivo vitendo ni weakness ya mtu period, ujinga wake tu.

Kuna shule za day, mchanganyiko, vitoto vinasagana vibaya mno

Hili lina mchango lakini si kama watu wanavyojaribu kutuaminisha kuwa ni chanzo kikubwa sana.
 
Naomba niseme machache..

Tuna angalia tulipo ndondokea badala ya kuangalia tulipojikwalia..! "We consume what we don't produce"

Malezi ya watoto wetu hawa wakisasa imekuwa ni tofauti na miaka yetu ya nyuma, tumeacha asili yetu ya malezi ya mtoto tumekimbilia usasa.

Malezi yetu ya asili tulikuwa tunavalishwa bambino, vipande vya khanga, vipande vya vitenge, n.k

Watoto wa kisasa tunawalea na kuwakuza kwa kuwavalisha "diapers" na kuwatawaza na "wipes" ambazo zinazalishwa na hao hao wapenda ushoga.Unategemea nini?

Jamii zetu za kiafrika zina vyakula vyake vya asili ambavyo kaya nyingi za kiafrika za leo hii hawavitumii labda kwa maelekezo ya Dr, hospitali.Mfano Magimbi, Mihogo, viazi vitamu, n.k

Tumekuwa wapenzi sana wa vyakula vya kileo na tumesahau vyakula vyetu vya asili, pizza, french fries,pringos, burgers na n.k haya mavyakula yanazalishwa na hao hao.

Labda tujiulize kwanini sasa hivi tuna mahan'some boy wengi na beutiful girls wengi.... (umiza kichwa...)

Tusisingizie shule za bweni kwenye tatizo hili, shule za bweni ziko tangu miaka hiyo ya nyuma mbona haikuwa kama ilivyo leo hii..? Tuache siasa kwenye jambo hili, hili jambo ni mtambuka.

Tusidili na matokeo... tudili na kuandaa matokeo, na ili tuweze kuondoa haya matokeo yanayopigiwa kelele leo hii basi turudi kwenye asili yetu.
 
Back
Top Bottom