Recent content by Hope1

  1. H

    Magazeti ya Mabeberu yameanza chokochoko El País wamuita John Magufuli, the African Bolsonaro. Nini kipo nyuma ya tuhuma hizi ?

    Kama nchi haijatangaza takwimu zozote maana yake ni kuwa hakuna mabadiliko katika takwimu za awali. Wao wanalazimisha maambukizi mapya na vifo vipya ili iweje? Yemen Ilikuwa na takwimu za mgonjwa mmoja zaidi ya mwezi, mbona hawaikushutumu? Tanzania kutokuwa na lockdown kumeathiri nini? Hawa Watu...
  2. H

    Hizi dawa za NIMR za kupambana na dalili za covid 19 ni shida kuzipata

    Naomba utaratibu uliotumia. Namaanisha unalipia wapi na dawa zinapatikana wapi?
  3. H

    Aliyesema kaugonjwa kenyewe ni kadogo kuliko Mafua; Alifanya makosa makubwa kuipotosha Jamii

    Kuchukua tahadhari ni muhimu, hakuna anayepuuza. Ila hao watabiri kwanini wanatabiri hali mbaya. Je, hawawezi kushauri katika lugha rafiki mpaka watutishe? Na si lazima utabiri wao utimie Kama wanavyoona au wanavyopenda. Mbona Kuna mataifa mengine ambayo si ya Africa na wana case chache za...
  4. H

    Video: Imevuja! Wanasayansi Wakizungu wanaswa wakifanya michakato ya kuja kufanya majaribio ya chanjo ya Corona Afrika kwa kisingizio cha utafiti!

    Wakafanye utafiti na kutest chanjo kwenye nchi zenye cases nyingi za wagonjwa, ikiwemo ulipoanzia. Huku Africa umekuja bahati mbaya tu tena umeletwa.
  5. H

    Mtandao wa Wanafunzi Nchini (TSNP) waomba masomo kusimamishwa ili kujikinga na Corona

    Hakika, waziri wa elimu sikia ushauri huu uokoe kizazi Cha watanzania. Nami nakuomba waziri, mazingira na maisha ya watanzania unayajua. Tafadhali toa tamko shule na vyuo vifungwe angalau kwa mwezi mmoja tu ili mamlaka zingine ziweze kudhibiti huu ugonjwa
  6. H

    Ni kweli mwanafunzi akisoma Shule binafsi hatapewa mkopo akifika chuo?

    Hiyo ya priority course sijui kama inafanya kazi. Mimi mdogo wangu alisoma engineering na hakupata mkopo. O' level alisoma private alisomeshwa na shirika na advance alisoma private na alisomeshwa na mtu baada ya kuona ana uwezo darasani Ila hana mtu wa kumsomesha advanced level.
  7. H

    Kwanini Serikali isilipe fidia simu feki?

    Tatizo la humu Jf watu wanawaza vyama, hata hoja yenye mantiki watu wanafikiria vyama. Hatutaendelea kwa mtindo huu. Kipindi cha nyuma Jf ilikuwa sehemu Makini ya kupata taarifa zenye uhakika na mijadala yenye tija. Siku hizi ni mipasho tu humu. Kuna mtu anachangia au kuanzisha Mada mpaka...
  8. H

    Daraja la Kigamboni ni White Elephant Project, Hatulihitaji!

    Uhuru wa kutoa maoni. Hivi watu wa Mbezi, Bunju, Tegeta nk ndiyo wenye umuhimu sana wa kusafiri kwa urahisi kuliko watu wa Kigamboni?. Watu wa Kigamboni wapoteza muda mwingi kwenye foreni wakisubiri kivuko hasa wale wenye magari. Ikitokea kuna mgonjwa (mahututi) anayehitaji huduma ya haraka...
  9. H

    UDA: Hatujafilisika na hatuna dalili za kufilisika

    Sawa hamjafilisika. Lipeni kodi sasa. Halafu kuna baadhi ya mabasi yenu yanafanya routes (yanadafirisha abiria) hata vibali vya kusafirisha abiria hayana.
  10. H

    Mnyika tumekupa Madiwani wote, watendaji wote lakini barabara hazipitiki

    Mpeni muda jamani. Mimi huwa siamini katika vyama, eti fulani kwa vile ni mwanachama wa chama fulani basi atafanya vizuri. Kamwe siamini. Utendaji wa mtu hauzingatii vyama hilo tulielewe. Ila kwa Mnyika naona ni mapema sana Kuanza kumlaumu japo tunaumia. Tumpe muda kwanza tuone kama...
  11. H

    Rais Magufuli awarudisha nyumbani mabalozi 6, amtimua Mkurugenzi NIDA. Madeni Kipande afukuzwa kazi!

    Nilijiandikisha kwa ajili ya kitambulisho cha taifa mwezi oktoba 2012. Nikapiga picha kwa ajili ya kitambulisho mwezi Machi 2013. Nikaambiwa nasubiri mpaka nitakapotumiwa ujumbe na NIDA. Nilisubiri sikupata ujumbe. Mwezi Julai 2015. Nikaanza kufuatilia. Nikaambiwa hawawezi kutrace kitambulisho...
  12. H

    Nassari atoa mil.45 kwenye pesa ya gari la mbunge zisaidie kununua dawa na Vitanda

    Hongera sana Nassari. Tanzania tunahitaji wabunge wa namna hii. Kuisaidia jamii si kila wakati kuishinikiza serikali. Wabunge, mnapoweza wasaidie wananchi.
  13. H

    Rais Magufuli akamilisha uteuzi wa Baraza la Mawaziri, Makame Mbarawa abadilishiwa Wizara

    Mawazo yako hayatakusaidia kamwe. Huwezi kuendelea kwa kuendekeza udini.
Back
Top Bottom