UDA: Hatujafilisika na hatuna dalili za kufilisika

TAARIFA KWA UMMA

Kumekuwepo na taarifa za uwongo kwenye vyombo vya habari, hasa kijarida cha Dira ya Mtanzania, na mitandao ya kijamii kuhusu uongo kuwa kufilisika kwa Shirika la Usafiri Dar Es Salaam (UDA) Limited.

Menejimenti ya Shirika la Usafiri Dar Es Salaam inakanusha uwongo huo kuwa UDA haijafilisika na haina dalili zozote za kufilisika isipokuwa ni Shirika la namba moja nchini na Afrika Mashariki na Kati linalokuwa kwa kasi ya ajabu kimaendeleo na kibiashara.

Zifuatazo ni takwimu zinazodhihirisha ukweli huu:

  1. UDA imeongeza idadi ya mabasi kutoka mabasi 7 makukuu na mabovu Mwaka 2012 na kufikia takribani mabasi 400 mwaka 2015 yakiwemo mabasi 255 ya kawaida na mabasi makubwa - Hercalus, mapya na ya kisasa kabisa duniani (ya BRT) 140.
  2. Ndani ya miaka 3, kampuni ya UDA imekuwa kwa zaidi ya asilimia 5,000
  3. Kampuni hii imeweza kufanya maandalizi yote ya kuwezesha kuendesha mradi wa mabasi yaendayo haraka (DART Project) kwa ufanisi mkubwa. Mbali na kununua mabasi, kampuni imeweze kununua mtambo bora na wa kisasa kabisa duniani wa kukusanya nauli na kuongezea mabasi (Intelligent Transportation System – ITS) wenye thamani kubwa kutoka Ubelgiji na Ujerumani. Vile vile kampuni imeweza kusaili na kufundisha madereva wa Kitanzania zaidi ya 300 na kuwaajiri kwa ajiri ya kuendesha mradi wa mabasi yaendayo haraka (DART Project)
  4. Kampuni imejenga karakana bora na imara na kununua vitendea kazi vya kisasa kwa ajiri ya mabasi yake ya kawaida na mwendo haraka.
  5. Kampuni imepeleka watendaji wake kwenye miradi mbalimbali ya BRT duniani ili kupata uzoefu wa kuwawezesha kuendesha mradi wa mabasi yaendayo haraka (DART Project) kwa ufanisi. Vile vile Kampuni imeweza kuajiri wataalam kutoka nje (expatriates) kwa ajiri kuongezea nguvu wataalam wake wa ndani.
Kwa takwimu chache hizo hapo juu, Kampuni ya UDA ni namba moja Afrika kwenye sekta ya usafirishaji wa abiria barabarani kwa idadi ya watu inaosafirisha, idadi ya mabasi na ubora wa menejimenti.

Mafanikio haya ya Kampuni ya UDA yanatokana na umahiri wa uendeshaji kutoka Simon Group chini Uongozi thabiti wa Mwenyekiti wake Ndugu Robert Simon Kisena na si vinginevyo, kama washindani wetu wavyojaribu kutuchafua kwamba kuna wanasiasa nyuma yake.

Tunawataka washindani wetu waache tabia ya fisi ya kumfuata mtu anayetembea kwa haraka wakidhani atandondosha mkono wapate kitoweo vinginevyo watakufa njaa.

Imetolewa na Uongozi wa SHIRIKA LA USAFIRI DAR ES SALAAM (UDA) LIMITED

Wakalipe kodi yetu na kuturudishia UDA yetu.
 
Mbona taarifa hajasainiwa,au ndo kusema uongozi wa UDA
hauna kiongozi mwenye mamlaka ya kutoa tamko
mpaka taarifa hii itolewa kiujumla?
 
Kisena form four uliyeferi utaweza kuendesha kampuni kubwa kama UDA kwa faida?. Kisena amekalia kutoa rushwa tu kwa kila aliye mbele yake bila hata kujua anakokelekea, leo hii Kisena na UDA yake wana kesi karibia mia moja mahakamani na kuna mikoa Kisena amepigwa marufuku kuonekana kutokana na dhuruma alizozifanya uko. Leo hii Kisena haruhusiwi kuonekana mkoa wa Mwanza kwani anatafutwa kama nini na familia yake iliwahi tekwa akiwepo mkewe kutokana na dhuruma alizozifanya kwa wafanyabiashara wa Mwanza. Kisena ni jipu yaani ni jipu ambalo limeshapiliza. Kipindi cha serikali iliyopita Kisena kafanya fujo sana kwa kutegemea ulinzi wa serikali iliyopita, Kisena amewaibia CRDB na mpaka sasa wameshindwa kumfanya kitu, Kisena kawaibia TIB Bank na mpaka sasa wana kesi nao, Kisena kawaibia karibia wafanyabiashara wote wa Pamba kanda ya ziwa yaani ana migogoro na kila mfanyabiashara wa Pamba na ana mgogoro na mabenk karibia yote hapa Tanzania na hata ofisini kwake UDA anaishi kama digidigi, yaani hata mgeni akifika pale aruhusiwi kumuona Kisena mpaka avuke karibia mageti matatu ili kujua sio mtu mbaya wa kuweza kumdhuru Kisena. KISENA NI TAPERI MKUBWA SANA, YAANI NASHANGAA KWANINI SERIKALI INAMRUHUSU MTU MWENYE HISTORIA MBAYA NA CHAFU KAMA YA KISENA JAPO KUHUSISHWA TU NA BRT.
 
Yeah , huu utetezi wa Simon ni mwepesi sana. Kwa uzito wa tetezi kwamba UDA inafilisika , halafu ukatoa statement kwamba siyo kweli bali mtaji umekuwa kwa asilimia 5.000% , ni maelezo mepesi sana.
Kuna usemi usemao kwamba " data" / Takwimu hazisemi uongo. Weka takwimu ambazo zitasema ukweli kuliko maneno matupu yasiyokidhi haja. Simon akumbuke kuwa lisemwalo lipo
 
Sawa hamjafilisika. Lipeni kodi sasa. Halafu kuna baadhi ya mabasi yenu yanafanya routes (yanadafirisha abiria) hata vibali vya kusafirisha abiria hayana.
 
TAARIFA KWA UMMA

Kumekuwepo na taarifa za uwongo kwenye vyombo vya habari, hasa kijarida cha Dira ya Mtanzania, na mitandao ya kijamii kuhusu uongo kuwa kufilisika kwa Shirika la Usafiri Dar Es Salaam (UDA) Limited.

Menejimenti ya Shirika la Usafiri Dar Es Salaam inakanusha uwongo huo kuwa UDA haijafilisika na haina dalili zozote za kufilisika isipokuwa ni Shirika la namba moja nchini na Afrika Mashariki na Kati linalokuwa kwa kasi ya ajabu kimaendeleo na kibiashara.

Zifuatazo ni takwimu zinazodhihirisha ukweli huu:

  1. UDA imeongeza idadi ya mabasi kutoka mabasi 7 makukuu na mabovu Mwaka 2012 na kufikia takribani mabasi 400 mwaka 2015 yakiwemo mabasi 255 ya kawaida na mabasi makubwa - Hercalus, mapya na ya kisasa kabisa duniani (ya BRT) 140.
  2. Ndani ya miaka 3, kampuni ya UDA imekuwa kwa zaidi ya asilimia 5,000
  3. Kampuni hii imeweza kufanya maandalizi yote ya kuwezesha kuendesha mradi wa mabasi yaendayo haraka (DART Project) kwa ufanisi mkubwa. Mbali na kununua mabasi, kampuni imeweze kununua mtambo bora na wa kisasa kabisa duniani wa kukusanya nauli na kuongezea mabasi (Intelligent Transportation System – ITS) wenye thamani kubwa kutoka Ubelgiji na Ujerumani. Vile vile kampuni imeweza kusaili na kufundisha madereva wa Kitanzania zaidi ya 300 na kuwaajiri kwa ajiri ya kuendesha mradi wa mabasi yaendayo haraka (DART Project)
  4. Kampuni imejenga karakana bora na imara na kununua vitendea kazi vya kisasa kwa ajiri ya mabasi yake ya kawaida na mwendo haraka.
  5. Kampuni imepeleka watendaji wake kwenye miradi mbalimbali ya BRT duniani ili kupata uzoefu wa kuwawezesha kuendesha mradi wa mabasi yaendayo haraka (DART Project) kwa ufanisi. Vile vile Kampuni imeweza kuajiri wataalam kutoka nje (expatriates) kwa ajiri kuongezea nguvu wataalam wake wa ndani.
Kwa takwimu chache hizo hapo juu, Kampuni ya UDA ni namba moja Afrika kwenye sekta ya usafirishaji wa abiria barabarani kwa idadi ya watu inaosafirisha, idadi ya mabasi na ubora wa menejimenti.

Mafanikio haya ya Kampuni ya UDA yanatokana na umahiri wa uendeshaji kutoka Simon Group chini Uongozi thabiti wa Mwenyekiti wake Ndugu Robert Simon Kisena na si vinginevyo, kama washindani wetu wavyojaribu kutuchafua kwamba kuna wanasiasa nyuma yake.

Tunawataka washindani wetu waache tabia ya fisi ya kumfuata mtu anayetembea kwa haraka wakidhani atandondosha mkono wapate kitoweo vinginevyo watakufa njaa.

Imetolewa na Uongozi wa SHIRIKA LA USAFIRI DAR ES SALAAM (UDA) LIMITED
Hii taarifa inatia mashaka makubwa sana kwani taarifa iliyotolewa juzi inaonekana imetolewa na mkurugenzi wake kisena,kuwa imefirisika leo hii mnakuja kujitetea kwa kisingizio cha kuboresha Dart?
 
Wakisema wamefilisika kosa,wakisema hawajafirisika kosa.

Hebu waacheni vijana wakinyantuzu wafanye kazi,mliwauzia shirika nyinyi wenyewe,tena kumbe lilikua na minibus 7 zilizokongoroka
Kumbe msoga kuna wanyantuzu?
 
Sawa hamjafilisika. Lipeni kodi sasa. Halafu kuna baadhi ya mabasi yenu yanafanya routes (yanadafirisha abiria) hata vibali vya kusafirisha abiria hayana.
Pia kuna malalamiko ya wafanyakazi kutolopwa mishahara kwa muda kama lilivyo agizo la serikali na kutowasilisha michango ya watumishi kwenye mifuko ya huduma za jamii
 
Duh!
Taarifa ya kukanusha kwa kweli ina vionjo vya mipasho. Time will tell! Ila Mnazi Mmoja na Posta moa nne?? Hamna kitu hapo ni wizi tu!
 
mkwere alichemka sana yaan kuwekeza ktk biashara ya magari ni pata potea wasahuri wake hapa walikosea kabisaaaa
 
Imekua kwa 5000 asilimia! Sanaa hizi zinanikumbusha juu ya mwandishi mmoja wa Aljazeera aliyekuwa akiripoti kuwa majeshi ya marekani yanagaragazwa vibaya Iraq na baada ya muda mfupi kifaru kikabomoa chumba cha habari na ndio ukawa mwisho wa habari. Taarifa hii inafanana sana na kauli za Awamu ya nne. NI JIPU TU HILI UDA.
 
TAARIFA KWA UMMA

Kumekuwepo na taarifa za uwongo kwenye vyombo vya habari, hasa kijarida cha Dira ya Mtanzania, na mitandao ya kijamii kuhusu uongo kuwa kufilisika kwa Shirika la Usafiri Dar Es Salaam (UDA) Limited.

Menejimenti ya Shirika la Usafiri Dar Es Salaam inakanusha uwongo huo kuwa UDA haijafilisika na haina dalili zozote za kufilisika isipokuwa ni Shirika la namba moja nchini na Afrika Mashariki na Kati linalokuwa kwa kasi ya ajabu kimaendeleo na kibiashara.

Zifuatazo ni takwimu zinazodhihirisha ukweli huu:

  1. UDA imeongeza idadi ya mabasi kutoka mabasi 7 makukuu na mabovu Mwaka 2012 na kufikia takribani mabasi 400 mwaka 2015 yakiwemo mabasi 255 ya kawaida na mabasi makubwa - Hercalus, mapya na ya kisasa kabisa duniani (ya BRT) 140.
  2. Ndani ya miaka 3, kampuni ya UDA imekuwa kwa zaidi ya asilimia 5,000
  3. Kampuni hii imeweza kufanya maandalizi yote ya kuwezesha kuendesha mradi wa mabasi yaendayo haraka (DART Project) kwa ufanisi mkubwa. Mbali na kununua mabasi, kampuni imeweze kununua mtambo bora na wa kisasa kabisa duniani wa kukusanya nauli na kuongezea mabasi (Intelligent Transportation System – ITS) wenye thamani kubwa kutoka Ubelgiji na Ujerumani. Vile vile kampuni imeweza kusaili na kufundisha madereva wa Kitanzania zaidi ya 300 na kuwaajiri kwa ajiri ya kuendesha mradi wa mabasi yaendayo haraka (DART Project)
  4. Kampuni imejenga karakana bora na imara na kununua vitendea kazi vya kisasa kwa ajiri ya mabasi yake ya kawaida na mwendo haraka.
  5. Kampuni imepeleka watendaji wake kwenye miradi mbalimbali ya BRT duniani ili kupata uzoefu wa kuwawezesha kuendesha mradi wa mabasi yaendayo haraka (DART Project) kwa ufanisi. Vile vile Kampuni imeweza kuajiri wataalam kutoka nje (expatriates) kwa ajiri kuongezea nguvu wataalam wake wa ndani.
Kwa takwimu chache hizo hapo juu, Kampuni ya UDA ni namba moja Afrika kwenye sekta ya usafirishaji wa abiria barabarani kwa idadi ya watu inaosafirisha, idadi ya mabasi na ubora wa menejimenti.

Mafanikio haya ya Kampuni ya UDA yanatokana na umahiri wa uendeshaji kutoka Simon Group chini Uongozi thabiti wa Mwenyekiti wake Ndugu Robert Simon Kisena na si vinginevyo, kama washindani wetu wavyojaribu kutuchafua kwamba kuna wanasiasa nyuma yake.

Tunawataka washindani wetu waache tabia ya fisi ya kumfuata mtu anayetembea kwa haraka wakidhani atandondosha mkono wapate kitoweo vinginevyo watakufa njaa.

Imetolewa na Uongozi wa SHIRIKA LA USAFIRI DAR ES SALAAM (UDA) LIMITED
Habari au taarifa hii ni nzurii na kwa wakati mwafaka. Kampuni yenye uwezo wa kupanuka kwa 5000% inastahili pongezi na cheti kuchangia pato la taifa. Tra wakitoa takwimu upande wa kodi waliolipa itakuwa vizuri zsaidi
 
HIVI Wadau Yale Mabasi Ya Mwendo Kasi Yamenunuliwa Na UDA Kwa PESA Zake Au MKOPO, Ama Zimenunuliwa Na Serikali!!!?? Maana Barabara Tumeambiwa Imejengwa Na Serikali Kwa MKOPO Toka World Bank!!! Na Sijui MKOPO Huo Atalipa Nani!!? SERIKALI Au SAIMON GROUP!!!? NAOMBA Mnisaidie KUNIJUZA WADAU!!
 
Back
Top Bottom