Hizi dawa za NIMR za kupambana na dalili za covid 19 ni shida kuzipata

Kaboya Kenneth

JF-Expert Member
Aug 4, 2009
285
276
Nimelipia ijumaa tarehe 8/5/2020, niliambiwa nitachukua j/3. J/3 nimekosa, j/4 nimekosa! Leo j/5 nipo getini foleni sina uhakika wa kupata.utaratibu ni mbaya! Gari za wakubwa yanapakia yanaondoka! Ni shida!
 
Naomba utaratibu uliotumia. Namaanisha unalipia wapi na dawa zinapatikana wapi?
 
... mkuu inaonesha wewe huna tatizo zaidi ya kujiwekea tu akiba ya dawa; ingekuwa ile yenyewe tangu 8/5/2020 leo hii usingekuwa hapo getini NIMR.
 
... mkuu inaonesha wewe huna tatizo zaidi ya kujiwekea tu akiba ya dawa; ingekuwa ile yenyewe tangu 8/5/2020 leo hii usingekuwa hapo getini NIMR.
Watu wapo mahakamani kwa mashitaka ya kutoa habari za uongo kuhusu wagonjwa wa Corona nchini, mahakimu wako tayari kuwahukumu.

Nimr wanasema wameongezewa uwezo na serikali kuzalisha chupa 5000 kwa siku, kwani Chupa 120-200 walizokuwa wakipekeka mahospitalini awali hazikidhi mahitaji. Mwongo ni nani? Tuwe wakweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Formular ya nimri.
Vitunguu maji vi2.
Tangawizi 5.
Vitunguu thwaumu punje 10.
Pilipili kichaa 3.
Ndimu 2, toa mbegu tuu acha maganda.
Maji ya Moto Lita 1.
Saga huo mchanganyiko.

Dozi.
Kunywa vijiko vi2 vya chai kila baada ya masaa manne mpaka utakapoona ugonjwa umekwisha.

NIMRI imegundua kwamba covid19 pia inasababisha damu kuganda hivyo huo mchanganyiko ni Tina tosha.

***Nimeitoa kwenye group la wasap huko mtaani*****
 
Vijiko vya chakula 2 kila baada ya masaa 8.

NIMR hawajawahi kugundua COVID kusababisha damu kuganda...hawana utaalam huo...Beberu ndiyo aliyetambua hilo!

Everyday is Saturday........................ :cool:
 
Back
Top Bottom