Recent content by hooligan01

  1. hooligan01

    JamiiForums Tanzania FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    Forca barca
  2. hooligan01

    JamiiForums Tanzania Wakuu hivi kuna msanii anemzidi kipaji Rod Wave

    Depressed/sad songs
  3. hooligan01

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Huu uzi kumbe bado upo….nawaombea wapambanaji wote mfanikiwe sehemu mlizoomba…namimi nilisota sana humu ila mambo yalienda sawa mwisho wa siku
  4. hooligan01

    JamiiForums Tanzania Wasanii wangu 10 bora wa Hip Hop wa muda wote

    Hamna mlipomtaja D Knob??
  5. hooligan01

    JamiiForums Tanzania FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    Yap tukaze
  6. hooligan01

    JamiiForums Tanzania Nitajie wachezaji watatu waliokuhamasisha kuupenda mchezo wa soccer

    Same applies to me
  7. hooligan01

    JamiiForums Tanzania Tukutane hapa wapenzi wa Cartoons

    Yaani haujaweka Popeye the sailor kwenye list yako??😳
  8. hooligan01

    JamiiForums Tanzania Kanye West afuta mipango ya Kugombea Urais mwaka 2024

    Hahaha kanye ana akili kupitiliza
  9. hooligan01

    JamiiForums Tanzania Mbali na uigizaji,Hamis Actor ni nani?

    Nilivoona tu id yako nimeamini maana jamaa namuonaga sinza kwa remmy mara nyingi
  10. hooligan01

    JamiiForums Tanzania Urgent: Ninahitaji id soft copy ya Nida, nina namba tu, mwenye kujua namna ya kupata

    Habari ndugu zangu, Kama kichwa kielezapo juu naombeni msaada wenu yeyote mwenye kujua maana kinahitajika kesho. Natanguliza shukrani
  11. hooligan01

    JamiiForums Tanzania Kama umekuwa ukitumia gharama kubwa kwenye vifurushi pitia hapa Kuna solution kwaajili yako ( GB 1 kwa buku tu)

    Habari kaka je hii hali ya kusema muwe watatu na ikitokea wewe umelipa iyo tarehe moja ila wenzako hawajalipa ni kwamba line yako bado itafungwa??
  12. hooligan01

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kwa mdogo wangu kuhusu ajira ya Tutorial Assistant

    Hapana maokoto yapo ila kuna kuzidiana pia scale za TRA naona zipo tofauti na hizi za serikali…yaani TRA ni kama wana scale zao wenyewe na wanajiendesha….tofauti na udsm iko chini ya mishahara ilopangwa na wizara ya elimu
  13. hooligan01

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kwa mdogo wangu kuhusu ajira ya Tutorial Assistant

    Ahsante sana kwa mwongozo..nilihisi inabidi aandike barua kwa hr au head of department yake kumbe ni kwa accounting…nashukuru kwa mchango
  14. hooligan01

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kwa mdogo wangu kuhusu ajira ya Tutorial Assistant

    Nashukuru sana kwa ushauri wako nimepata mwanga zaidi
Back
Top Bottom