Wataalamu wa kilimo cha vitunguu maji naomba uelewa juu ya kilimo hicho maana nimepitapita vijiji vya mkoani Tabora nikakutana na zao hili.
Naomba somo, soko na biashara yake ilivyo!
Sisi ajira mpya wa wilaya ya Nzega DC tumepewa pesa ya kujikimu tarehe 30/05/2026 kiasi cha Tsh 650,000/= badala ya 150000×7 = 1,050,000/= ukijumlisha na nauli uliyotumia wakati wa kuja kuripoti kazini.
Mbaya zaidi viongozi wetu hawasemi chochote juu ya hili, sisi tunashindwa kuelewa tupo njia...
Nenda tawi lolote la bank lililo karibu na wewe Kisha fungua account ya akiba, weka hiyo pesa alaf Rudi chuo soma Kwa bidii huku ukiendelea kutafta biashara ya kufanya. #USIKURUPUKE.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.