Recent content by Honestdeos

  1. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini Usiri mkubwa wa Mikataba kati ya Tanzania na China?

    Hawawezi kuweka mautumbo yao hadharan--!!
  2. H

    JamiiForums Tanzania Kikwete: Hata kama Mtu anayechochea Wananchi ana mapembe, tutayakata!

    Kwahiyo mh raisi unatutisha!! ??? Ama tukuelew nn!? Usisingizie siasa!! Sema wew na wezi wengine mnataka gesi ije dsm muweze kuwaibia wananchi! Hakuna la ziada! Nina mashaka na ufikiri wako, haswa katika mda huu! Ambapo wananchi wako wanauwawa kudai haki yao!! Ni aibu kwa taifa!! Huna busara!
  3. H

    JamiiForums Tanzania Jengo la CCM Mtwara lateketezwa kwa moto

    Mm nafikir serikali itabue Tanzania ni nchi ya kidemkrasia , kama demokrasia isemavyo majority rule, minority rights... Dhahiri watanzania wengi hawasapoti gesi kuja dsm , lakn serikali yenye watu wachache wanashkinza wanachokitaka kwa manufaaa yao binafsi!! Waziri za nishati huna Aibu!! JK...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Turkish cosmoz

    Kama agent wa manufacturers wa hizi cosmetics uturuki, nalink the manufacturers waliopo turkey and the wholesale/ retail buyers ndani ya bongo. Mf upo bongo, wataka import in largescale kwa ajili ya duka lako, nakupa price list ya vipodozi, make order yako, na kuhakikisha mzigo unakufikia...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Original human hair (weavings) kutoka turkey now in dar es salaam...!

    Samahanini kwa late reply. Laki 3 ndo bei ya weaving 1 .
  6. H

    JamiiForums Tanzania Turkish cosmoz

    Do you /Know anyone who wants to import bulk cosmetics?? ..mascara, liners, suppressed powders, lipsticks / gLosses, Glitters, perfumes , Eye shadows , tatoo stencils..mwambie ani-PING 2A5FCADF // leah.bubbley@gmail.com // siriyaurembo@gmail.com ...Opportunities to quality made Turkish...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri juu ya kupata dawa kuongeza nguvu za kiume na dawa za kurefusha uume.

    Pole, mm naona mtafte daktari ,, sio jambo ya kushtukiza sana
  8. H

    JamiiForums Tanzania Quality turkish cosmoz

    You want / Know anyone who wants to import bulk cosmetics ..mascara, liners, suppressed powders, lipsticks / gLosses, Glitters, perfumes , Eye shadows , tatoo stencils..mwambie ani-PING 2A5FCADF // leah.bubbley@gmail.com // siriyaurembo@gmail.com ..Opportunities to quality made Turkish...
  9. H

    JamiiForums Tanzania Quality turkish cosmoz

    You want /Know anyone who wants to import bulk cosmetics ..mascara, liners, suppressed powders, lipsticks / gLosses, Glitters, perfumes , Eye shadows , tatoo stencils..mwambie ani-PING 2A5FCADF // leah.bubbley@gmail.com ...Opportunities to quality made Turkish Cosmetics at a price you won't...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Mishahara ya viongozi wa Tanzania

    sıku zote walıkuwa wapı...how much does ıt cost kuwa na sıte? hawana mpango huo manake sıkuzote mafısadı wana sırrı nzıto!!
  11. H

    JamiiForums Tanzania Wanawake Maarufu 60 Africa 2013: Elsie Kanza mtanzania pekee!

    daaah!! wote hao Tanzania kamoja tuuu!!? hapana!!
  12. H

    JamiiForums Tanzania Original human hair (weavings) kutoka turkey now in dar es salaam...!

    UNAWEZA KUZIPASI, KUZISETI NA KUZITUMIA KATIKA MITINDO YOTE BILA YA KUKAKAMAA WALA KUREFUKA ZAIDI!! WAHI ZIPO CHACHE !!! SIMU 0715 64 39 98 AU 0754 64 39 98 BARUA PEPE: leezbaby91@yahoo.com
  13. H

    JamiiForums Tanzania Wahaya

    Muhaya is attacked by a robberin his silver prado.. Robber shouts, "Toa Pochi!!" Muganyizi shouts back, "We ----, huwezi nipigia kelele nikiwa kwenye prado na nimevaa rolex na cheni ya gold atakama we ni Osama... bwana...Oh, we ni jambazi?? Embu nione unatumia silaha gani!??" (looking at the...
  14. H

    JamiiForums Tanzania Hii ndio (CV) Wasifu ya Nape Moses Nnauye

    Elimu si kitu bila maarifa!
  15. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Windows in Mac- Touch pad drivers.. msaada plz

    Karibu
Back
Top Bottom