Pale mayahudi walipovamia msikitini hamkuona kama ni magaidi walipouwa wapalestina 3 hawakua magaidi walipomnyonga dereva wa bus hawakua magaidi lkn wameuliwa majushi ndo wamekuwa magaidi Hata bado huo ni mwanzo tu
Vijana, mzee othmani masoud ndie ndie simba dume na anahitaji kuungwa mkono, watz tufanye maandamano kupinga hawa madhalimu akina sheni na kikwete, mungu awapooze miguu na macho hawa waione raha ya dunia
Kwanza ningependa mnieleweshe rasimu imesema rais wa znz ndo atakua makamo wa kwnza wa rais wa muungano je kama rais wa muungano katokea znz na huyu makamo wa rais nae atatokea serikali ya znz au ni njama za ccm tu kufanya mzanibari asiwe rais wa muungano ?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.