Natafuta Mume

Natafuta Mume

Sijawahi kujiunga na JF kabla ndio mara yangu ya kwanza kupost kitu chochote, kifupi ni mgeni hapa jamvini na sina account ingine
Wakuwache tu mamito, unajiunga na unatafuta mume wala si rafiki au mchumba
 
Nimekuelewa dada lkn ningependa kujua zaid short story yako na sifa zaid za mume unaemtaka mfano dini au kabila
 
Nimekuelewa dada lkn ningependa kujua zaid short story yako na sifa zaid za mume unaemtaka mfano dini au kabila

dini awe mkristo lakini kabila lolote. Mengine tutaongea kwenye mawasiliano yakianza
 
K mekuelewa kwa upande wa dini mm nimefail cjui hayo mengne ila ucjali ntakuombea dua utafanikiwa kwa kile unachokiomba na kitakua na kheri na ww
 
I LIKE YOU LADY are hiv free?,unafanya shughuli gani?baba ya watoto wako ni mmoja au @ mmoja na baba yake?
 
Habarini wadau. Hii ni mara yangu ya kwanza kupost hapa kwenye jamvi nia na madhumuni natafuta mume, mimi ni mwanamke wa miaka 31 naishi arusha nina watoto 2. Natafuta mume kuanzia miaka miaka 35 - 45 itapendeza zaidi na yeye akiwa na watoto, awe serious na awe na uhitaji wa kutulia kwenye maisha ya ndoa, aliye serious aniandikie kwenye email yangu tinnercute@yahoo.com.ili kufahamiana zaidi, Asanteni

Mummy mungu ni mwema utapata tuu according in your heart desire in Jesus name, Amen, say hello to those beautiful angels of yours. Thanks!
 
eeeeenh mbona ye alivoweka vigezo vya umri hujasema mean.... emh huko

Haikuwa mean hata kidogo, she requested according her desire . you dear , you used very harshly words please , heshima ni kitu cha bure, respect and treat others as the way you wanted to be treat. Thanks!
 
Yaaani bora ulivyosema na yy nalizima awe na watoto mana ndio mataendana kuliko kuolewa na kijana mwennye kilometa zero kukuoa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom