Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
Hata nikimfumania na mume wangu nitamsamehe tu mume wangu maana mhhhh ?
Duh! kirahisi tu? Lazima upiganie chako, mama...
Hapo hata wivu sipati ye aende tu....lol
Hata nikimfumania na mume wangu nitamsamehe tu mume wangu maana mhhhh ?
kweli hauto mkata nywele kwa kisu na kumuamuru kukalia kyupa cha gambe?
kweli hauto mkata nywele kwa kisu na kumuamuru kukalia kyupa cha gambe?
mfume uende na kisu cha kunyoa nywele uone utakachofanywa
lol